Recent content by NANGI NYANDA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wa madishi

    Asante acha nitafte
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wa madishi

    MSAADA WADAU! Nipo najifunza taaluma hii ya madishi ila kuna maelezo siyaelewi naomba kueleweshwa! 1) Hili swala la ueleke lina maana gan? Utajuaje kama uelekeo huu ni wa Azam, DSTV au zinginezo? Kwa leo mnisaidie hilo wadau
  3. N

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Aksante
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Asante kwa ushauri wako nimejitazama na sioni shaka kwangu! Kama matunzo ingekuwa magumashi nisingeshangaa kwa anavyovifanya lakin kwa kuwa anapata anachohitaji ndo maana ninashangaa! Kuchelewa kutoa mahali ni kwa kuwa familia yao ina mgogoro kuhusu nani hasa apokee mahali kwa kuwa baba yake...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Ilifikia hatua hata mimi nikajiuliza ninaoa au naolewa! Hakuna jinsi tena namwacha tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Asante mkuu nimejiridhisha
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Kuhusu kumchapa makofi naona ndo itakula kwangu wanawake nowdays wana msaada mno ukishamchapa makofi utaishia polisi tu naona bora nitafute cha kuniweka busy nimpe ruhusa aende zake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Somtym najuta kwa nn nilikutana nae! Na kumuacha itakuwa shida kwa mwanangu lakin kwa hali hii si mbaya nahc sitakuwa wa kwanza
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    xfactor Moja yeye ndo mwenye maamuzi ya mwisho kwa kila kitu hataki ushauri! Pili kuna ushahidi wa yeye kutokuwa mwaminifu na ukimwambia anakuwa mbogo! Kasave jina la mwanaume anayetuhumiwa nae kifupi T na mawasiliano yao hayanibariki kabisa! Tatu ni aina ya marafiki alionao na story...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Kaka na dada zangu hapa Jamii forums Naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye uhusiano dada mmoja kwa takribani miaka miwili, sasa na tumezaa mtoto mmoja mwenye miezi tisa sasa. Kumetokea mizozo na migogoro kwenye uhusiano wetu na kiasi kwamba natamani tuachane. Najaribu kujishusha sana ili...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Jaman na mimi nangoja mni PM
  12. N

    JamiiForums Tanzania Live: Man City vs Barcelona

    Nilisinzia kidogo mbona Alves kachukia kutolewa akapiga kopo?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Yani ww una pa kujishikiza halafu unasema unapelekwa? Jiajili ujipeleke mwenyewe
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Mr Adam Gella Usilete ugumu hapa JF wakat facebook unalia njaa! tunakujua kila siku kulalamika facebook kulilia ajira ! Subir tu kwa upole.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ticha na denti,kama ushaiona potezea

    Jomba umetisha
Back
Top Bottom