freeboy
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 242
- 191
Kwanza kabla hujaendelea mbele jiridhishe huyo mtoto kama ni wako,maana inawezekana kwa kiwango kikubwa pia amekuchomekea
Kama ulikuepo kichwani kwangu mdau hilo ni muhimu isije ikampa pigo lingine huko mbele.