chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Wiki hii umejuaje tupe chanzo
Inaonekana unazitamani Sana. Vumilia mkuu utapata tu.
ila inawezekana kuna shule nyingi kilimanjaro waalimu wana vipindi 8-12 yaani hata nusu ya maximum periods per week kitakacho fata waliopo watagawanywa vyema watoshe mashulen. ila mnaweza bahatisha
Ntakutafuta
Mambo mengi huzungumzwa, ila cha muhimu Ni kuwa mvumilivu, ajira lazima zitoke Na mnapata ajira.
Challenge iliyopo Ni kwamba, mshahara hautoshi Kama boom linavyotosheleza,jipange vizuri, hasa kuingia katika maisha ya ndoa ( kwa maoni yangu Ni vema ukachelewa kidogo)
hivi mwaka 2010 katika mwaka wa uchaguzi waliajiriwa mwezi wa ngapi?
Mambo mengi huzungumzwa, ila cha muhimu Ni kuwa mvumilivu, ajira lazima zitoke Na mnapata ajira.
Challenge iliyopo Ni kwamba, mshahara hautoshi Kama boom linavyotosheleza,jipange vizuri, hasa kuingia katika maisha ya ndoa ( kwa maoni yangu Ni vema ukachelewa kidogo)
Hapabonyezekiiiiiiiii@chichimiziBofya hapa:-:-
Kwa walimu wa cheti.
Bofya hapa kwa walimu wa stashahada.
Bofya hapa kwa walimu wa shahada
Ajira zitoke mje mtupokee huku vijijini na sisi tukaangaze macho mjini huko