Nimezaa nae naogopa kumuacha

Nimezaa nae naogopa kumuacha

Kama umezaa naye ukimwacha utalaniwe unyumba ni makubaliano ya Wote wawili lazima uheshimu hisia za mwenzako
 
Piga chini huyo asikuzingue bana. Siku hizi kuna maprofeshno baby care 24hrs. Wanakulelea mtoto akitoka huko nusu ustaadh nusu mchungaji. Wanachukua hadi mtoto wa siku1
 
NANGI NYANDA

Tatizo lako ni kama la kwangu,kiufupi hakuna mateso kama kuingia kwenye ndoa yenye vurugu,hapa watu watakwambia mengi,wanawake wa siku hz wanataka kuendesha wanaume na utateseka hujapata ona.

Binafsi nilishindwa na nikaoa mke mwingine ili huyo mgomvi akate tamaa,nachofanya ni kuhudumia mtoto wangu na baada ya muda ntamchukua,katika hili sikushauli uingie ndoa yenye shida,umeshamjua mtu ni jaribu ktk maisha yako utajiingizaje kichwa kichwa?
 
Last edited by a moderator:
NANGI NYANDA

Pole sana mkuu. Kuna kila dalili mwanamke wako anachepuka.
pia ushamba unamtesa(ulimbukeni) sana.

My take: kama unampenda na usingependa kumpoteza ukizingatia unataka kumlea mtoto wako kifamilia; Chagua "hardway" usijishushe tena mbele yake. Hope Umeshajaribu softway na hukupata matunda yoyote yenye manufaa mpaka sasa.sanasana hali inazidi kuwa mbaya.

Sasa ni wakati wa wewe kupigania chako. Simama kwa nafasi yako. Amua muda wa yeye kulala, namba zake za simu kagua, mwongoze wewe. Sometimes to get someone you need to try to lose someone.

Kuwa MTU wa amri na maamuzi. Usinong'one bali koroma.
Mara nyingi wanawake ni watu wa kuamrishwa. Ukisubiri ushauri wao hutofika popote. Hasa kwa huyo uliyenaye.

Pia acha kuyatazama maisha kama magumu. Cause sometimes the problem is the concept of perception. Hii itakusaidia kuepuka kuyumbayumba kimisimamo.

Ukisema "No" sema kwa kumaanisha na usibadilike. Be a leader, be a head of a family. Be a final say.
Kama unaona anahitaji makofi ama "nakoz" usisite kumpatia kama kule kwetu Mara but make sure huharibu reception yake.
 
Last edited by a moderator:
Hapo nsikudanganye kak yangu hakna ndoa na ukilazmisha tegemea vitu vifuatavyo
1.Kuwa mama wa nyumbani na yy ni baba
2.Kuletewa waume hadi ndani au mke kurudi saa 6 na zaidi usiku
3.Kutambulishwa kwa waume zake kama wew ni house boy au ndg yake
4.KUPIGWA LIMBWATA hasa ukionyesha kumfuatilia sana na hii itakufanya utakuwa kituko na istoshe kupoteza malengo yako kabisa kwan utabadilika na kuwa ZUZU.
Wanawake wengi tafta atakaeijenga nyumba yako na awe na heshima kama mke bhana,kama mtu hakutak achana nae wengine akihisi kero kwake anaweza kukuua kabisa,najua mtoto aweza pata tabu lakn hii ni kwa muda mfupi kuliko wewe kuwa zuzu na huku mda wote upo ma mtoto na huna nyuma wala mbele,MUOGOPE mkeo ksma UKOMA ndg japo najua unampenda ila yy ndo haeleweki.
 
Wewe umesema tofauti zilitokea kama ulimkwaza na kumuumiza nafsi ,ndio visa vyote hivyo. je maana yako hujasema umesema ya upande wa pili tu kaanae umuulize tatizo nini?
 
Piga chini hiyo kitu Mkuu kwani
level hamlingani na hii ni kutokana na makuzi yakekisheria mtoto
anakaa kwa Mama hadi miaka 7 km umempenda sana utakuwa unamtembelea kwani hapo v2 hupewi umekuwa gameshow
 
Pole mdogo wangu!jipe likizo kidogo may be atabadilika japo kwa hizo sababu ulizotaja japo juu hafai kuwa mke tenaaaa!Bas enenda upange chumba kimoja nunua godoro +shuka+net uweke kwenye iko chumba upumzishe akili!yaan hapo mnapoishi fata nguo zako tuu...mwachie kila kitu..bt usiache kupeleka matumizi!..fanya ivo then ulete mrejesho hapa
 
Maisha mafupi haya.Kama moyo wako haukubariki kumuoa usioe,kuwa mpole kwa sasa ukiangalia mustakabali wa mwanao.
Na kwa kuwa anagawa nje usingonoke nae mjomba na ukimwi kapime.Then kila mmoja achukue ustaarabu wake.
NANGI NYANDA
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije ukafa kabla ya siku zako. Kuhusu kumuacha na mtoto kuteseka mimi huwa naamini,Nothing is good or bad but your thinking make it so ""
 
Kwanza kabla hujaendelea mbele jiridhishe huyo mtoto kama ni wako,maana inawezekana kwa kiwango kikubwa pia amekuchomekea
 
NANGI NYANDA

Si vizuri kutolea maamuzi bila kusikiliza pande zote mbili na itabidi tuchangie tu kutokana hawezi ye kuja na kusema na ww yale unayomfanyia
Hata km wote mna makosa lkn kwa hayo uliyoyataja ni bora NIHUDUMIE MTOTO ye akakae kwao tu kuliko kujitakia presha zisizo na kichwa wala miguu, huyo anajiamini amefika ndio maana anafanya yote hayo wakat wenzake wakiwa kwenye Uchumba wanaficha makucha yao na kuvaa ngozi ya kondoo kumbe chui
 
Last edited by a moderator:
Majuto ni mjukuu kaka,hiyo ndo shida (ya kupeana mimba mapema)kabla ya ndoa.yani hapo mmesha potezeana direction kimtindo.
 
NANGI NYANDA

Ukibaki hapo, ni dhahiri kuwa utaendelea kufedheheka na hakuna guarantee kwamba nyinyi kubaki pamoja basi mtoto wenu hatopata shida.Ukimwacha, utajitoa katika matatizo ila pia hakuna guarantee kuwa mtoto wenu atateseka. Ni hisia zako tu.

Jaribu kuongea nae mlione na mlisolve tatizo. Kama hili limeshindikana kama inavyoonekana basi huna budi kutafuta arrangement ya kuachana nae ambayo pia haitamuaffect sana mtoto. Its possible. Almost always ukishashindwa kumhandle mwanamke ukakosea mahali hutoweza tena. Sio rahisi things would get better.

Halafu umehakikisha kama huyo mtoto ni damu yako? Kama bado, fanya hivyo kimya kimya. Tumia sana akili kuliko hisia katika kipindi hiki, japo ni ngumu.
Pole mkuu, na all the best!
 
Last edited by a moderator:
Chagua kati ya haya,tafuta cha kukuweka busy na usijishughulishe nae kabisa, siku mmoja mtandike makofi na umwambie heshima ikae kati
mvumilie tu huku ukimbembeleza abadilike na ujifanye zoba haswaa.

Hapo penye kumtandika makofi tu ndio nilipopapenda,mwananke uzuri bhana. tabia itanyooshwa hata kwa ngumi
 
Kuhusu kumchapa makofi naona ndo itakula kwangu wanawake nowdays wana msaada mno ukishamchapa makofi utaishia polisi tu naona bora nitafute cha kuniweka busy nimpe ruhusa aende zake

Wa kwangu anafanana na wako yeye anamajibu ya kukera nilimramba makofi juzi kati naona saiv adabu ipo ila sikushauri ufanye hivyo bora utumie ile plan A ya kujikeep busy na kucheki altenatives zaidi ya moja mtoto alindwe huyo busara itumika bwana kaka chukulia ni mtihani na utatakiwa kuushinda
 
Back
Top Bottom