kidayaweru
New Member
- Feb 18, 2015
- 1
- 0
Jamani wale walio na ndugu zao tamisemi tuulizieni huko ajira za waalimu wanatoa lini naona kila mtu anatetesi zake
Next week yatakuwa out vuteni subira waalimu wa kiswahili
wewe unafundisha kijapani au?
Yani daaah mimi nateseka sana nafanya kazi private tunapelekwa kama nini.
Yani nina mzuka sana OMWAMI