Hapo tatizo si elimu ila walitofautiana interest", kila mtu ana interest yake hata wote mkiwa maprofesa. Na kwa ufahamu wangu interest haifundishwi darasani
Kuna kosa umelifanya ila ukijerekebisha mtaishi vizuri. Katika ndoa ili muishi vizuri suala la elimu weka pembeni, ukifika nyumbani mastaz yako iache mlangoni. Ukitoa mifano toa ya kawaida, usianze unajua kuna PHILOSOFA mmoja au kuna PROFESA mmoja hapo ndoa itakuwa ndoana. Pangeni mambo yenu...
Wanasayansi wapo biased hawaamini ktk mungu. Hivyo basi kuwategemea wao kuleta ukweli itakuwa tunajidanganya. Ila tujiulize hii mifuko ya rambo, magari, piki piki, simu, pc nk hakuna aliyevitengeneza vimetokea tu naturalally, kama yupo aliye vitengeneza basi nasi yupo aliyetutengeneza. Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.