Recent content by Namungula Jr

  1. Namungula Jr

    Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

    Waambie wawe wanasafisha pale Jevanjee opposite na pack side ni pachafu sana mpk panqnuka mikojo
  2. Namungula Jr

    Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

    Tulia basi uandike vizuri maana uandishi wako unakua wa papara mno,aliyekutuma atakulipaje kwa uandishi huu wa kuanza sentensi kwa herufi ndogo?
  3. Namungula Jr

    Mtela Mwampamba aula, ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo (DAS)

    Mkuu akijua wewe pengine ni Waziri au una cheo chochote kikubwa ni kitu gani kitakachomfanya azimie?
  4. Namungula Jr

    CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

    Tunaanza na hawa walioonyesha ukilaza wao kwanza
  5. Namungula Jr

    Taratibu naona watanzania wanarejesha matumaini yao kwa CHADEMA

    Ile posho ya buku 7 kwa hawa nyumbu wa Lumumba naona imerudi kwa kasi ya 4G..
  6. Namungula Jr

    Taratibu naona watanzania wanarejesha matumaini yao kwa CHADEMA

    Umekurupuka kama mwandishi wa lile gazeti lenu la chama (Uhuru).
  7. Namungula Jr

    Jiji la Mbeya a.k.a Green City laanza kuchipua upya

    Mkuu unawezaje kufananisha Moshi na Iringa na hata Morogoro? Hayo magorofa ukienda Moshi mengi yamejengwa hata nje ya mji achilia mbali mjini,nadhani umesahau kua Moshi ni mji wa Kilalii.
  8. Namungula Jr

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Mkuu Pub Alberto ni ya Mzee Chris hii iko tangu miaka ya 90,Msando hahusiki kwa lolote...Huyu Mzee anamiliki restaurant kadhaa Moshi mjini kama Indotaliano,Chagga grill,Moshi club na Hot pot achilia mbali nyumba kadhaa za kisasa/kifahari.
  9. Namungula Jr

    Davis Mosha aahidi kutimiza ahadi alizotoa wakati akigombea Ubunge Moshi Mjini

    Serious? Tena mwambie ana bahati sana hizo kura alizopata ni nyingi mno akijaribu 2020 atapata kura 150 tu.
  10. Namungula Jr

    Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    "Tutavuka daraja tutakapolifikia" ni maneno ya busara kutoka kwa Edward Lowassa baada ya kuulizwa atayapokeaje matokeo ya Uchaguzi mkuu.
  11. Namungula Jr

    Magufuli hakufika kwenye majimbo Matano tu!

    Nani msafi aliyeko CCM? Ataanza kujitemesha yeye mwenyewe zile nyumba zilizojengwa kwa jasho la Watanzania alizojimilikisha?
  12. Namungula Jr

    Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Umechanganyikiwa naona
  13. Namungula Jr

    Moshi inakwenda kumpata Mbunge atakayewajali wananchi, tuwe tayari

    Nasikia kesho mnataka kuandamana kuelekea kwa mkuu wa Mkoa kutafuta huruma kwa wapiga kura eti mnaonewa,ulimbukeni wenu wa kuleta mabonsa wa kushusha bendera za UKAWA Moshi mjini zimeshawa cost tayari,Mmefanya kampeni ni vita na kupiga vijana wasio na hatia sababu tu hawakubaliani na...
Back
Top Bottom