Rais Magufuli ahudhuria ibada ya Pasaka kanisa la KKKT

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
12,919
39,562
RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA PASAKA KANISA LA KKKT LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEO

az1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mchungaji Charles Mzinga alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az3.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Magufuli wakishiriki na waumini wengine Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az4.jpg

az5.jpg

Kwaya na Matarumbeta wakiwajibika wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016

az7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini huku akisikilizwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Chalres Mzinga baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az9.jpg

az11.jpg

az13.jpg

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Rebecca Malasusa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
AZ13A.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiombewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Charles Mzinga wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az14.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiama na kikundi cha Matarumbeta na Kwaya baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az15.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016

az17.jpg

Kwaya ikitumbuiza baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az18.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana -na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Charles Mzinga wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az19.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapungia waumini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az20.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitambulisjhwa kwa baadhi ya wazee wa kanisa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
az21.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya wazee wa kanisa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
IMGL0465.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa zawadi mtoto baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
 
Inapendeza kwa Rais kufanya hivyo. Ameomba aombewe na dini zote kwahiyo haitakuwa ajabu akitinga pia masjid! Lakini mbona hatujaonyeshwa vigogo wengine au walisali usiku?
 
at least anakumbuka kusali
 
Inapendeza kwa Rais kufanya hivyo. Ameomba aombewe na dini zote kwahiyo haitakuwa ajabu akitinga pia masjid! Lakini mbona hatujaonyeshwa vigogo wengine au walisali usiku?
wengine walienda ibada ya mkesha mkuu,cku hizi wote wanafanya kama magufuri..akitumbua nao wanatumbua..akikemea nao wanakemea..akienda kusali nao wanakwenda yaan ni full kazi maana muheshimiwa hatabiriki huyu
 
mkuu wiki hii imekuwa ya viongoz kuombewa.,....
ila ni jambo jema kuwa na hofu ya MUNGU wataongoza wakiwa na uoga,..wakijua kuwa Mungu yupo na watu wamewaombea dua........
 
Inapendeza kwa Rais kufanya hivyo. Ameomba aombewe na dini zote kwahiyo haitakuwa ajabu akitinga pia masjid! Lakini mbona hatujaonyeshwa vigogo wengine au walisali usiku?

we tafuta hao vigogo wengine. Leo ni magufuli day. hao vigogo wengine wapo kila sku
 
mkuu wiki hii imekuwa ya viongoz kuombewa.,....
ila ni jambo jema kuwa na hofu ya MUNGU wataongoza wakiwa na uoga,..wakijua kuwa Mungu yupo na watu wamewaombea dua........
hofu ya Mungu itawasaidia kwe kutenda haki ingawa hawana budi kumwomba sana MUNGU kwani nafas walizonazo huwa inakuwa ngumu kutoshiriki kabisa mambo yasio mpendeza MUNGU kama dhulma na mauaji..so MUNGU awasaidie sana
 
Amebarikiwa awaye kiongozi yeyote amnyenyekeae mungu kwani kwa kufanya hivyo nikutengeneza njia njema kwake, watu wake , taifa lake n.a. dunia nzima
 
Back
Top Bottom