Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

Hata utawala wa idi Amini alikuwa anaamini kuwa ataitawala uganda milele lkn mwisho wa siku aliikimbia uganda akiwa amevaa khanga
.......pia if you wanna know more from wat i see.....endeleaaaa...mm nakomea hapa.........
 
Tunamtaka kiongoz alieonja hii adha ya unyanyasaji na ukandamizwaji, na uonevu wa mabavu wa dola, na uvunjifu wa democracy awe rais wetu kama(Lowassa) maana ataelewa vizuri ni kipi askari huwa wanaamuliwa kufanya
Atailinda katiba
 
............
Arusha leo akitokea mkoani
Kagera ambapo alizuiliwa kufanya
mikutano ya ndani na Jeshi la
Polisi la polisi,anaandika
Charles William.............

japo sijui kwa undani zuio hilo lakini tujiulize haya :

1.mh lowassa anafanya mikutano kama Nani?maana yeye ni mwanachama Wa chadema na mjumbe Wa kamati kuu .sasa je kila mjumbe Wa kamati kuu aendeshe mikutano ya kichama kweli?hivi Leo wajumbe wote Wa kamati kuu ya vyama wakiendesha mikutano ya kichama itakuwaje?

2.nini Kazi ya mjumbe Wa kamati kuu??je sikupitisha au kukataa maamuzi ya chama??sasa wapi na wapi mikutano ya ndani au nje?
 
Tulia basi uandike vizuri maana uandishi wako unakua wa papara mno,aliyekutuma atakulipaje kwa uandishi huu wa kuanza sentensi kwa herufi ndogo?
 
Pole, maswali yako majibu yake ni.... Ijue haki ya mwanachama katika chama cha siasa. Mojawapo ni kutumia akili, maarifa na uwezo wake katika kukiimarisha chama.

NB: hapo sijataja jina la chama.
 
Kila chama na utaratibu wake kwanini uwapangie utaratibu?
 
Kwa matendo haya ambayotulikuwa tukiyasikia nchi nyingine, leo hii yamehamia Tanzania, from the bottom of my heart I say, I hate my country Tanzania, tumepata uongozi wa kipuuzi usio kuwa na maana.

Alaaniwe huyo kiongozi aliejimilikisha Tanzania yetu, MWL.Nyerere alipigania nchi hii kwa misingi ya haki,upendo na mshikamano, leo hii nchi hii inaharibiwa na watu wasiokuwa na hata chembe za SIFA za kuwa hata viongozi wa nyumba kumi.

Askari wamekuwa kama wahuni wa kulinda masirahi ya mtu mmoja, MWL Nyerere alikuwa Rais lakini hakulindwa kwa uzandiki na kishabiki namna hii, leo hii SIFA njema ya Tanzania inazidi kuharibika, huku tuliko ughaibuni tumeanza kusemwa vibaya na hata viichi vya hovyo, visivyokuwa na amani miaka nenda ludi, navyo kwa sasa vinajiona viko vizuri zaidi ya Tanzania.

Viongozi wanaipeleka wapi nchi yetu, watu wake hawanaga ugomvi na mtu, but leo imekuwa RAIA anatembelea watu tu kwa nia njema anafuatwa na silaha kama haini ndani ya nchi yake?

Hayo mambo yalikuwa nchi za Uganda,Rwanda, Burundi, na Congo leo hii yamefika nchini kwetu, askari wetu sio chombo cha wananchi tena kama Baba wa taifa alivyokuwa akitueleza siku zote leo jeshi la Polisi limekuwa Mali ya chama cha mapinduzi jamani uongozi huu unalipeleka wapi taifa?

Na ukiona kiongozi anajilinda kwa mtutu wa bunduki kwa kutumia nguvu ya majeshi kamwe huyo sio kiongozi aliyetokana na imani ya wananchi bari kasimikwa na dola, Nyerere alisimikwa na wananchi hakulindwa kiasi hicho na alikuwa kipenzi cha watu wake japo walikuwa masikini, Mwinyi pia, Mkapa na Jakaya hawakulindwa kiasi hicho.

Leo hii majeshi yetu yanajitokeza kwenye matukio ya kuwalinda maboss wao( watawala) but sio kuwalinda wananchi wote kwa usawa na ujumla wao, maafa yametokea Kagera majeshi yetu yamejifungia hadi jeshi la nchi ya jirani linaguswa na tukio majeshi yetu ya wananchi wa Tanzania hayana habari, yanasubilia upinzani ujitokeze na wao waanze kutia watu hofu na siraha nzito bila sababu za msingi, kwenye tukio la maafa hawaonekani na hata hayo maelekezo kutoka juu hayapo, but akionekana Mbowe, Mbatia, Lowassa, Seifu, ndo unayasikia matamko na maelekezo kutoka juu.

Ni aibu ya watanzania wote, huu uongozi unahalibu haiba ya nchi yetu, na mm sitoludi Tanzania tena hadi hili ombwe la uongozi litakapo isha, Mungu aisaidie nchi yangu Tanzania.
 
Pole, maswali yako majibu yake ni.... Ijue haki ya mwanachama katika chama cha siasa. Mojawapo ni kutumia akili, maarifa na uwezo wake katika kukiimarisha chama.

NB: hapo sijataja jina la chama.

hapo umedanganya!!!yani kila mwanachama aitishe mikutano bila kutumwa?? labda Tanzania pekee hilo linawezekana!!!mjumbe Wa kamati kuu kuitisha mikutano????no no no!!angekuwa mbunge tena kwwnye jumbo lake hapo ningemwelewa!!
 
Tulia basi uandike vizuri maana uandishi wako unakua wa papara mno,aliyekutuma atakulipaje kwa uandishi huu wa kuanza sentensi kwa herufi ndogo?
Namungula sio vizur kumuumbua mwenzio. Ujue mungu anakuona.
 
Alienda Kagera kufajiri au kufanya mikutano ya kisiasa? Lowassa ni nani CHADEMA mpaka ana msemaji wake mwenyewe?
Hata wewe binafsi waweza kuwa na msemaji wako sema umasikini ulionao huwezi afford. Hata elimu nayo uliyonayo inachangia. Kajifunze kiswhili kwanza usidandie train kwa mbele.
 
Tangu maafa yatokee yule mtu aliyekuwa akijiita raisi wa maskini alishawahi kwenda kuwapa pole wahanga kule kagera?
Je kitengo cha maafa kilicho chini ya serikali yake kimetoa mchango wa kiasi gani kwa wahanga?
Serkali haina pesa. Tunaona aibu kuwa wakweli.
 
hapo umedanganya!!!yani kila mwanachama aitishe mikutano bila kutumwa?? labda Tanzania pekee hilo linawezekana!!!mjumbe Wa kamati kuu kuitisha mikutano????no no no!!angekuwa mbunge tena kwwnye jumbo lake hapo ningemwelewa!!
Tulia wewe limbukeni wa siasa asiyekuwa hata na kadi! Nikushauri tafuta katiba ya chama cha siasa Na usome wajibu wa mwanachama... Najua umeelewa ila kwakuwa una ugonjwa wa mimba iliyosababishwa na mtu anayefanana jina na Edward basi inasumbuliwa na hilo.
 
Kwanini huyu "mgonjwa" ni maarufu kuliko yule "baunsa" mpiga pushups?
 
Watu wapo kwenye maafa,wanahitaji misaada,Lowassa anataka kusalimiana na wanachama wake
Maigizo yanawafanya chadema wakose utu
 
............
Arusha leo akitokea mkoani
Kagera ambapo alizuiliwa kufanya
mikutano ya ndani na Jeshi la
Polisi la polisi,anaandika
Charles William.............

japo sijui kwa undani zuio hilo lakini tujiulize haya :

1.mh lowassa anafanya mikutano kama Nani?maana yeye ni mwanachama Wa chadema na mjumbe Wa kamati kuu .sasa je kila mjumbe Wa kamati kuu aendeshe mikutano ya kichama kweli?hivi Leo wajumbe wote Wa kamati kuu ya vyama wakiendesha mikutano ya kichama itakuwaje?

2.nini Kazi ya mjumbe Wa kamati kuu??je sikupitisha au kukataa maamuzi ya chama??sasa wapi na wapi mikutano ya ndani au nje?
Chadema kila mtu ana sharubu kama kambale,Mngeja nae anaisemea chadema
 
Back
Top Bottom