funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,119
- 31,640
- Thread starter
- #41
Acha kutumia jina lenye maana maana huna iyo maana ya ilo jina
Mwenzako amesema amatembelea huko hatopata kitu wewe unasema yaliyo kwenye masaburi yako
Elimu elimu elimu
Kila kona mnasambaza mabox ya kura mbaya zaidi yanadakwa
Kura zitapigwa vipi kama mabox ya kura hayasambazwi?