Tatizo letu watanzania ( samahani kwa kujumuisha Watanzania haina maana hiyo sana) hatujui thamani ya kitu chochote ambacho tuna haki nacho ya kujivunia, lugha tatizo mojawapo, Madini ni kama tunayagawa kwa kusingizia wawekezaji, uvuvi ni zero zaidi ya ngwanda za pale ferry, mbuga ukipitia kenya...