Hii naikubali kabisa. Nikimuangalio huyu kijana anaitwa sufiani huko Twitter kawa kweli sielewi anafanya kazi saa ngapi. Muda wote ni kusifia na kusimama tuu.
Hawa watu bwana. Si walisema bwawa likijaa litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme miaka mitatu mfululizo hata ikitokea ukame? Sasa naona no Kampala tuu. wanajipigia pasi tuu za madeal yao.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu kasema huko Twitter kwamba jamaa anavuta kamrabaha fulani kutoka kwa haya makampuni. Sasa naelewa kwa nini anashindwa kuwa upande wa wananchi na anawajibia hawa wawekezaji.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa ongezeko la wamasai kutoka 8000 mpaka zaidi ya 90000 huoni impact yake kwenye uhifadhi? Leo ndani ya crater kuna mto umekauka kwa sababu ya hii water competition kati ya wao, mifugo na wanyama pori. Mi nadhani waondolewe tuu kwani madhara ni makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.