Je, mwanamke anayekataa simu yake isiguswe na mumewe ni muhuni?

Je, mwanamke anayekataa simu yake isiguswe na mumewe ni muhuni?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,180
Reaction score
48,115
Kuna malalamiko mengi tunayasikia;

Unajua kuna wanawake ni wakali sana ukigusa simu yake ni kama mbogo kabisa, kila siku mbili anabadili password.

Siku akikupa simu unakuta
1. Ama kawablock baadhi ya watu kwa muda
2. Ama simu iko offline
3. Au anazima data kabisa kuepuka SMS mpya uwapo na simu yake

Ni kweli mwanamke wa hivo uliwahi kukutana naye?
 
Kama kweli mnapendana na kuaminiana sio tatizo mumeo au mkeo akiwa anashika hata kutumia simu yako.


Mimi niliwahi kugombana na mke wangu hii issue mwaka 2012 maana nlikuwa nkikaa tu home anachukua simu yangu lkn baadae nikaona wacha afanye anavyotaka cz kusema kweli simu yake alikuwa anaweka ipo free. Siku alikuja kuamini hamna baya kwny simu yangu nilisafiri halaf nikasahau simu home nmefika morogoro nataka nimpigie simu najisachi haipo nikaomba simu kuipiga ipo home nimekaa Dodoma siku 4 kabaki na simu
 
Kuna baadhi ya mambo ambayo upande wa 2 hataki ujue sio lazima awe muhuni inaweza kuwa biashara nk maana biashara nyngne znahitaji usiri wa hali ya juu
 
Maranyingi wanawake wa hivyo ni wahuni,tena wahuni haswaa.

Nawachukia sana hao madada,unakuta sms ikiingia anaisoma halafu anajibu then anafuta convo. zote.

Akipigiwa anaongelea nje au chumba cha mpangaji mwenzake,akimaliza anafuta call history.

Simu yake unakuta kaweka silent tu,yaani dada wa hivyo ni mhuni sana.
 
Mwanamke wa hivyo in malaya kama malaya wengine wanaojiuza.Hafai kuitwa mke, kama ndo mke wangu ningekua nishamtimua kitambo sana .Una moyo sana kama mpaka asaiv bado upo nae.
 
Sasa unamcho hata huoni??

Mwanamke asotaka uguse simj yake ,au simu yake iwe na apps nyingi za kutunza usiri au zinapaswed .......Hamna kitu hapo kabisaaaa bonge la Muhuniiiiii.
 
Back
Top Bottom