Recent content by Nailyne

  1. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mkuu Kubota asante sana kwa huu uzi, nimenufaika sana, nilikuwa na vitetea vyangu 3 ile february ulipoanzisha hii thread, na tulikuwa tunafuga kwa kula tuu with no extra care kwa hao kuku lakini baada ya kusoma uzi huu nikajifunza kitu, nikasema hao watatu watakuwa ni mtaji kangu! kwa sasa nina...
  2. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Family Pressures.. Ushauri Pls!!

    r u from a broken family or raised by a single mother?? sorry if it is too much to ask.....
  3. Nailyne

    JamiiForums Tanzania The Boss, Sorry for your loss...

    pole sana the Boss
  4. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Precision Air mmezidi

    nilikuwa natoka mwanza tarehe 25 Nov,2012 jumapili kwa ndege ya ya saa mbili na nusu usiku, nimefika airport saa moja kasoro nakutana na msururu wa abiria tukiuliza mbona hatu check in wakadai eti machine za kuprint boarding pass zimefail so they do it manually, tukaendelea kusubiri weee...
  5. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    it has been edited mkuu, nilichokuwa najaribu kusema ni habari iliyothibitishwa na sio cooked story , sorry kwa makosa yaliyojitokeza.
  6. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    R.I.P Kanumba...kama ni habari ya kweli inasikitisha, gone too soon
  7. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Je Unazo Siri Ambazo Hutozisema Hadi Ukifa?

    same applies to men Boss
  8. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Hivi huku sio kubaka kweli?

    -kuna maandiko katika biblia yanasema mume ana haki juu ya mwili wa mkewe alikadhalika mke juu ya mwili wa mumewe..... -sheria ya ndoa ya tz (LMA 1971) mume habaki mkewe ispokuwa kama wawili hawa wapo under separation hapa talaka inakuwa bado kutolewa.... -hivyo kwa mujibu wa dini na sheria...
  9. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Natamani kumwona tena

    si mlishamalizana unamtakia nini mwenzio ana ndoa yake tayari?
  10. Nailyne

    JamiiForums Tanzania The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

    mark my word:' nisijue wat goes around'
  11. Nailyne

    JamiiForums Tanzania The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

    Boss mwanaume atakayeza kumaintain nyumba ndogo kwa stail hiyo binafsi sina matatizo naye, ole wake nijue au treatment zangu kama nyumba kubwa zipungue hapatatosha, lakini huyo mwanamke atakayekubali kuwa treated that way sitamuelewa kabisa labda ndio wale wasiojitambua, au wako desparate mwanzo...
  12. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumtabiri

    mnawezakuwa mnapendana lakini ujue hiyo ndio changamoto utakayo kuwa nayo probably for life..,anaweza kubadilika au asibadilike, so asipobadilika jua hilo ndio litakuwa pungufu lake kwa hiyo cha kujiuliza unaweza kuishi na mtu wa hivyo mkioana?? hautatafuta substitute wa compliment hiyo gap ya...
  13. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Ninavyojisikia

    here i am share it with me.
  14. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Gari ipi itanisaidia kubana matumizi

    mkuu shukrani sana info hii itatusaidia wengi humu,.
  15. Nailyne

    JamiiForums Tanzania Gari ipi itanisaidia kubana matumizi

    tuwekee mawasiliano yake mkuu tupate details zaidi
Back
Top Bottom