Recent content by NAHAL

  1. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Umeshakata yako ya udalali hapo kama makampuni ya ulinzi
  2. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    Ni swala la MDA tuu Hilo waliloagizwa lazima walitimize tena wanavyolizungumza kila wakati ndio wanalipa nguvu na promo ya kutosha na kitu kikishazoeleka kusikika mara Kwa mara masikioni Mwa watu kwenye kutenda huwaga ni rahisi mnoo,,litakujaonekana ni swala la kawaida tuu na hawa ndio...
  3. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Wote ni matapeli tuu
  4. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Kwani Ruwaichi yeye alishaenda huko kutenda hayo??
  5. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    Bado wanaendelea kutupigia kelele wakati wanajua fikra Hilo agizo watakuja litimiza taka wasitake waache kutuchora hawa Binadamu wenzetu wanaojiona watakatifu!!
  6. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Ndio Washauri wa Mamdenyi hawa kama nchi kazi tunayo!!
  7. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa Polisi Arusha adaiwa kukodi majambazi wamuue mumewe, wamkatakata kwa mapanga

    Picha jamani ya Hilo limshangazi!!
  8. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Iran yasogeza Meli zake za vita Bahari Nyekundu!

    Wameshiba Acha wapigane haswaa!!
  9. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

    Alileta poda huyo Kwa kigezo cha mpira a.k.a Punda!!!
  10. NAHAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

    Dogo unamamavi,,jiandae uende misa ya Mkesha Saa Tatu Usiku,,utubu na mweleze mchungaji/padri hayo matatizo yako sawa!!
  11. NAHAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Na ndio Raha na karhaa za ulimwengu na walimwengu,,hongereni Kwa kuwa pamoja,, hongereni Kwa kuachana pia maisha yaendelee!!
  12. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Joto kali sana mjini

    Kakazianeni bafuni!!
  13. NAHAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Yaani uamue mwenyewe kuingia kwenye ndoa alafu madini tukupe Sisi ya kumpata anaekufaa??Broo umedata au??alafu sio kitu kwa ajili ya kila MTU wewe ndoa sio fungu lako na wala si dhambi Fanya mambo mengine
  14. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Hakuna wakwenda Si Mimi,,Wewe wala bulldozza Mzee wa upako!!!
  15. NAHAL

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Umenikumbusha limshangazi langu,,Madam Rehema ni litamuu balaa Yuko mbali lakini Nashukuru kila tukibahatika kukutana ni patashika nguo kuchanika nafikiri kuachana Kifo ndio kitatungenisha ingawa kila mmoja na maisha yake na ubavu wake!!
Back
Top Bottom