Recent content by Nafda

  1. Nafda

    JamiiForums Tanzania MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    mkuu thanks for this na mie ninatatizo kama lako japo mie mtt wangu ana miaka saba na bado hajachanganya kbs naomba kama mwenye namba ya huyo mtaalam atushirikishe na ss ili tuangalie cha kufanya mapema natanguliza shukran
  2. Nafda

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kokoto nyeupe kwa Dar es Salaam?

    bunju sehem gani mkuu
  3. Nafda

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kokoto nyeupe kwa Dar es Salaam?

    wadau msaada wa kujua ninapoweza kupata kokoto zile nyeupe zinazongaa ....kwa bei nzuri maana iliziona mbezi chin ila sikupendezwa na ubora wake na pia bei yakeilikua juu sana msaada tafadhali
  4. Nafda

    JamiiForums Tanzania Msaada please. Nimeagiza Gari kutoka Singapore

    wala hamna shida mkuu singapore ikifika hapa wanaifanyia inspection na mambo yanaenda poa sana
  5. Nafda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari Bingwa wa Watoto Ugonjwa wa Degedege

    jitahid sana kupata dr bora jaribu kwa dr massawe morroco kama uko dar ,pole sana kwa huo ugonjwa
  6. Nafda

    JamiiForums Tanzania Tusisikie wabunge wa CCM siku moja wanaponda bajeti kama wanavyoponda mkataba wa madini

    sijui kama umeelewa my concept .....! issue ni kumlipisha msaga mahind hela ya road licence au mtu wa generator
  7. Nafda

    JamiiForums Tanzania Tusisikie wabunge wa CCM siku moja wanaponda bajeti kama wanavyoponda mkataba wa madini

    mkuu fikiri kwa mapana mchine ya kusaga iko kijiji....analipa road licence na wewe unapiga makofi ....madara yake ni kupanda kwa garama za uendeshaji ....na kuongezeka kwa mfumuko wa bei ....hili umeliona .....je huyu ameongeza kipato kias gan kuweza kufikia hapo mahala pa ku cover hiyo...
  8. Nafda

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    better u tell.....happy with ur comments we need to think big on this as the impact is more that we talk or analys here
  9. Nafda

    JamiiForums Tanzania Kahama: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga azuiwa kuingia mgodi wa Bulyanhulu

    kweli unafurahia watanzania wenzako kukosa ajira hii ni mbaya .....tuangalie jins ya kutatua tatizo na sio kufurahia watu kukosa kazi ..
  10. Nafda

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi awatolea povu watanzania, kisa unafiki wao

    ray piga kazi acha kulia lia mkubwa kanumba alikua ngwiji kwenye hii industry nyie mnauza tu surabna kuanza kuponda ila hamna lolote ,mnasikitisha sana hamuwezi kujisimamia na kujiamin mmebaki kulialia tu na kufuata upepo
  11. Nafda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuanzisha mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

    mkuu nitakutafuta kuja kuziona ni za wapi ,na motor zake zimesukwa au orginal,from where thanks
  12. Nafda

    JamiiForums Tanzania Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

    mkuu uko vema nashukuru kwa ufafanuzi
Back
Top Bottom