Wapi naweza kupata kokoto nyeupe kwa Dar es Salaam?

Nafda

Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
13
Reaction score
8
wadau msaada wa kujua ninapoweza kupata kokoto zile nyeupe zinazongaa ....kwa bei nzuri maana iliziona mbezi chin ila sikupendezwa na ubora wake na pia bei yakeilikua juu sana
msaada tafadhali
 
Wewe ni ke au me?njoo bunju
 
Kama unaweza kupata mtu ruaha mbuyuni zipo nyingi tu wanauza kwenye debe
 
Back
Top Bottom