Bururu
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 877
- 583
Imekuwa kawaida kwa Wabunge wa CCM kusifia na kupitisha Sheria au Budget kwa Ngovu zote,Makofi,Furaha wakitoka Bungeni wanaponda.Watanzania Tumewachoka.
Kushangilia Road Licence ilipwe kwenye Mafuta wakati kuna watumia Mafuta hawatumii Magari,kama vile Wachimbaji wadogo wadogo wanatumia Diesel kuendesha mitambo yao kila siku,Mashine za Kusaga nafaka vijijini,Generator vijijini na hata mjini mda mwingine alafu bado Mbunge wa CCM Anashangilia Kasoro MSUKUMA NA WENGINE WACHACHE.
CCM shutuken uchaguzi si mbali Watanzania wa sasa si Wadanganywa tena.