T.Y.K.
Nimewakumbuka Sana Ndugu Zangu!! Nilikuwa Jangwani Kipindu chote hiki na mamonaki wengine nikitafakari Makuu ya Mungu!!! Nimerejea Tena Ndani Ya Jamii Forum
Pale Mbeya sugu alikuwa karidhika hata kipindi cha kampeni yy akawa anakula bata tu wakati dada anakomaa kutafuta kura, kapigwa kata funua mnalalama nyuma ya keyboard ha ha ha!!!!
Habarini Wanajukwaa,
Mbunge wa Mbinga Vijijini Ndung Martin Msuha kwasasa yupo katika hatari kubwa ya kupoteza jimbo hilo la Mbinga vijijini, Mnyetishaji aliepo Mbinga vijijini ameeleza kuwa Tangu aingie ndugu msuha hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kwenda bungeni na kupumzika hata pale...
MZEE BABA HUU MZIGO KUNA NAFASI HAWAJATOA AU WATATOA TENA...
MFANO ASSISTANT CUSTOM AND ASSISTANT TAX
ALAFU MAJINA YAMERUDIWA ANGALIA ATTACHMENT MBILI HIZO UKITOA YA ZENJI.
mimi sinaga utani na madogo na ninachokueleza ndo icho...madogo mnapambana sana sasa usilale soma
NIPO HAPA UTUMISHI KATIKA COMPUTER NAYAONA MAJINA YENU
kwamba unaupendo hivyo kwa rafiki yako ha ha ha ha jombaaa ukisema wewe mwenyewe utakuwa umepungukliwa na nini??? sometimes mnajikosesha bahati sababu ya kujificha vivuri ambavyo si vyenu mana mwingine hatokupa hizo ABC sababu sio we muhusika atataka rafiki akoi aseme kumbe wewe ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.