VACANCY AFTER OTEAS APRIL 2019

Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
HABARI ZENU WAKUU..............
Najua wazi wapo wakuu wengi ambao wanasubiri mkeka wa TAMISEMI. Lakini ni wazi kuwa kuna wale ambao tayari wapo kwenye private sectors wanafanya kazi huko lakini post zikitoka wataacha na kuelekea kwenye nafasi za serekali.

Kwa hiyo naomba watu watumie thread hii kujulishana vacant zote zitakazotokea baada ya wao kuacha kazi hizo ili wale ambao ni jobless au (wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu au wasiyoyapenda) waweze kutumia nafasi hiyo kuomba nafasi hizo.....

nashauri mtu aweke sehemu aliyoacha kazi na masomo anayofundisha ili kuwarahisishia wengine kuomba nafasi hizo....

natumaini walimu wenzangu tutafahamishana na hata wale wamiliki wa shule mbalimbali tunaomba pia waweke post za watu wanaowahitaji ili kuturahisishia wana JF wotee.........

NAOMBA KUWASILISHA
 
f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
1,508
2,000

WACHA tusubiri hizi nafasi....mie niko dsm Bsc ed (physics na mathematics) kwenye nafasi wazi please
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,085
2,000
Wakuu inakuaje mtu anaajiriwa kufundisha accounting na geography, mbona hii kitu haimake sense,

Mara history and accounting duuu!!!

Sijui o level wamesoma comb gani, na chuo koz ganii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom