sam G hiyo ndiyo hali halisi ...! yaani kusoma hujui hata picha huoni,,,? we unadhani kipi ni sahihi kati ta matokeo ya kwanza na haya yaliyo ongezeka kwa ufaulu wa asilimia 57?
muheshimiwa MTAMBUZI ...! naheshimu sana mawazo yako...! na pia huwa i use to keep my eyes open ninapoona comment yako...! nimekuelewa nawala sina nia ya kutetea uzembe ambao unatokea pale muhimbili lakini pia napenda kukuambia kuwa siyo kila tatizo linalo tokea ukalichukulia kama ni uzembe bali...
EMT nimekuelewa mkuu bila shakaa...! muheshimiwa mtambuzi alipo lileta swala hili katika jamvi ..! alikuwa anaseama kuwa kilicho muudhi siyo kwamba mgonjwa wake kutumiwa ila kuna kauli ambayo Dr. aliiongea mbele ya mgonjwa ambayo haikumridhisha..! lakini pia nadhani kinacho sababisha mpaka...
nimukuelewa moto2012...! lakini lakini stil nilicho kiandika kimeelewa maana nilikuwa kama najaribu mfafanulia mtambuzi kamavile ni mtu ambaye hajakutwa na tatizo hilo ..! kwahiyo nimemvua uhusika ili aweze kuliona tatizo hilo kwa ujumla...! napia nikasema kuwa tatizo ambalo mimi nimeliona...
wewe mtambizi usiongee au usishabikie kitu ambacho hukijui...! umeshaambiwa kuwa huyo dactari alikuwa na wanafunzi anawandisha kupitia huyo mama mkwe wake ..! kisheria hilo siyo kosa kabisa maana ndiyo utaratibu duniani kote..! lakini kosa lakiufundi ambalo lilikuwa limefaniya hapo nikwamba...
nia na madhumuni nikwamba waende sawa na uchumi wa marekani..! na wao wanaamini kwamba uchumi wa mareka ni minor case kushuka...! kwahiyo mishaara yao itaendelea kuwa juuu tuu kama wakitumia fedha hiyo ya USD...! WEWE HUJIULIZI KWANINI MUHINDI ANAUZA LAPTOP KWA USD WAKATI YUPO TANZANIA...
Hata kamisheni yao kwa tunaotoa huduma ya airtel money ni ndogo sana kiasi kwamba hata mteja akija unamhudumia kwa kuangalia kiasi cha float uliyokuwa nayo kwani usije ukaweka hela nyingi kwenye airtel money ukashindwa kuhudumia wateja wa mitandao mingine ambayo inafaida nzuri. Inawapasa...
Na mimi pia nilikuwa naomba msaada kwa phamacy. Minimum capital kwa ajili ya dawa tuu ukiachana na mambo ya. A.C., matengenezo ya ofisi na usajili. Inaweza akifikia mpaka kiasi gani kwa kuanza na dawa ambazo ni major.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.