Mawazo ya kichama chama! Nakumbuka zamani tulikuwa tunafundishwa darasani kuwa nchi ambazo bendera yake ina rangi nyekundu maana yake ni kwamba ilimwaga damu wakati wa kudai uhuru! Sasa sijui Uingereza ilidai uhuru kwa nani!rangi ya kiatu hicho kina maanisha ni damu ya matrys wote waliokufa kwa ajili ya ukristo...
free mason uyo. Embu mwenye picha ya lile bati analovaaga kwenye bichwa lake
.......hawakawii kusema cha ki-freemason!!!!!!!
Kweli kabisa, ngoja tuwasubiri waje
Ni kiatu Tu cha kawaida