Recent content by mzungu wa roho

  1. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba kwa ajiri ya kulima mpunga Ifakara

    tupo mkuu ,kesho naenda huko
  2. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu kozi ya international Business Management

    naomba kuuliza -Mtu asiyejua hesabu anaweza kusoma course ya international business management (in Kenya au Tz) -Je ni course gani inamfaa mtu asiyeweza hesabu na kidogo kuna uwezekano wa ajira au kujiajiri?(kwa level ya degree) Msaada wenu wakuu hesabu haijawahi kuacha watu salama.
  3. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania DAR: Wezi sugu wa Pikipiki watiwa nguvuni wakiwemo mabinti wa miaka 19

    aseee huyo jamaa inabid wampe adhabu kali sana
  4. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

    nimekuelewa mkuu
  5. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hizo za mapemaaa wakuu
  6. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    baada ya kutest mitambo jana
  7. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawa jamaa watatuua sasa, wakuu kuna anayeijua www.mcheza.co.tz???
  8. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Kampuni za ukodishaji Helicopter

    daaahh kuna majibu yanakatisha tamaa sana:D:D:D
  9. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari economy offer 5m

    kuna watu wanatunza magari mkuu unaweza pata gari namba A au B lakin iko vizuri kabisaaaa ukisikia maneno ya watu humu unaweza kata tamaa kabisaa
  10. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    naombeni likes aseee
  11. mzungu wa roho

    JamiiForums Tanzania Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    kuna watu wana akili sanaaa za darasani
Back
Top Bottom