Natafuta mashamba kwa ajiri ya kulima mpunga Ifakara

kwa heka 15 mkuu jipange zaidi ya milioni 4 utafanikisha zoez ,,hapo weka pembeni gharama za kuvunia na kutoa mzigo shamba
Mkuu zaidi ya milioni nne ndio kiasi gani hicho aisee..?
Embu tupe gharama zote kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna inagharimu kiasi gani?
Na heka moja kwa wastan inaweza toa gunia ngapi..
 
Ukitaka kumpata Mtanzania mwambie kilimo ni cha miezi 3,4 hivyo pesa inarudi fasta haaa.Mimi kabla sijaingia kwenye hiyo kitu nilikuwa na mawazo hayohayo,ila ukitaka kujua utachukua miezi mingapi shambani jaribu uone.Lazima tukubariane kuwa kilimo ni process ambayo inaanzia kwenye hatua ya mwanzo hadi unapouza bidhaa sokoni ndipo miezi ya kilimo inakamilika.Ninamashaka kama jamaa ashawahi kulima!!!kuna watu wanalima mahindi kibiashara unakuta mpaka mwezi wa Tisa bado wanavuna hapo bado kuuza.
Unajua kuna watu wanaongeaongea tu hata kilimo hawakijua. Kilimo cha mpunga na mahindi in xaidi ya mwaka. Kozi ukianza kukodi.kuandaa shamba mpaka uje uvune na kusubiri bei iwe stable mhii. Kuna watu wanaanza kulima mwexi wa11 na kuuza mazao mwezi wa2 au 3 msimu mwingine
 
Uwe makini sana ndugu yangu
Warungulu niwatu wabaya sana
Mwaka 2014,waliniibia 50millioni kwenye kilimo
Na mbaya zaidi wakataka kuniua kwa waganga kwa pesa zangu mwenyewe kwenye kilimo
Nakushauri sana kuwa makini sana
Mpaka Leo sijainuka kbsa nipo chini kbsa,
Daaaaaaa.....asante mkuu kwa ushauri.....
 
Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu......nimejaribu kupata maeneo Ifakara lakini naona kama nimechelewa.....wamiliki wengi wanadai pesa nyingi (kulingana na mtaji wangu)...niliamua kuangalia mbadala na hatimaye nimepata maeneo mkoa wa Tabora wilaya ya nzega ( kidogo bei ni rahisi kwa uzalishaji na maeneo)....kilimo cha huku kinategemea sana mvua....thanx God mwaka huu mvua ni ya kutosha kwenye haya maeneo....hakuna matrekta....wanatumia sana plau za ng'ombe..(gharama haitofautiani sana na bei ya kulima kwa trekta (yani bei ya kutumia trekta Ifakara na plau Tabora tofauti ni ndogo sana japo plau bei ni ndogo )....sasa ivi nipo Tabora shamba.....nimepata hekari nne ila naweza kuongeza kama hali itaruhusu...nishaanza michakato..,.hivyo maombi yenu wakuu...nitarudi kuleta mrejesho.....Ifakara nadhani mpaka msimu ujao
 
Muwe mnasikiliza redio lakini, Ruge wa clouds kila kukicha Ana sisitiza anzia sokoni.

Kama umesha lijua soko tayari nikupe hongera Ila kama bado nikutakie kila la kheri. Msiingie shamba kulima bila kujua soko lipo wapi. Kufanikiwa kulima na kuvuna ni jambo moja lkn kufanikiwa kuuza kwa bei yenye masilahi ni jambo lingine tofauti na la msingi zaidi.
 
Ok mkuu, kuna maeneo naweza kupata mashamba ya kumwagilia kwasababu kwa sisi tunaoanza ni hatari kidogo kutegemea mvua hela zenyewe za mikopo
kwa kumwagilia mkuu kwa kule sijafatilia vizuri,,wa kilimo cha kumwagilia jaribu dakawa mkuu
 
Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu......nimejaribu kupata maeneo Ifakara lakini naona kama nimechelewa.....wamiliki wengi wanadai pesa nyingi (kulingana na mtaji wangu)...niliamua kuangalia mbadala na hatimaye nimepata maeneo mkoa wa Tabora wilaya ya nzega ( kidogo bei ni rahisi kwa uzalishaji na maeneo)....kilimo cha huku kinategemea sana mvua....thanx God mwaka huu mvua ni ya kutosha kwenye haya maeneo....hakuna matrekta....wanatumia sana plau za ng'ombe..(gharama haitofautiani sana na bei ya kulima kwa trekta (yani bei ya kutumia trekta Ifakara na plau Tabora tofauti ni ndogo sana japo plau bei ni ndogo )....sasa ivi nipo Tabora shamba.....nimepata hekari nne ila naweza kuongeza kama hali itaruhusu...nishaanza michakato..,.hivyo maombi yenu wakuu...nitarudi kuleta mrejesho.....Ifakara nadhani mpaka msimu ujao
Hongera sana na kila la kheri!
 
kwa kumwagilia mkuu kwa kule sijafatilia vizuri,,wa kilimo cha kumwagilia jaribu dakawa mkuu
Umemshauri vizuri, DAKAWA kuna plot nzuri sana za kulima mpunga na wametengeneza system nzuri sana ya umwagiliaji! Kwa kweli pale wako vizuri maji ni ya uhakika na wanampango wa kuwa na misimu miwili kwa mwaka ya kulima!

Hata hivyo, yale mashamba ni ushirika! Usiye mwana ushirika sio rahisi sana kupata plot pale! Ili kupata plot inabidi utafute mwanaushirika ambaye hana mpango wa kulima plot yake kwa msimu husika.

Sasa basi, kutokana na plot hizo kuwa dili (nadhani na ukaribu nao unachangia maana panafikika kirahisi) pale DAKAWA kuna madalali wengi sana MATAPELI wakiwemo wanaushirika wenyewe! Yaani plot moja mnaweza kukodishiwa watu zaidi ya wanne kwa msimu huo huo usipokuwa makini!

Kama mnakumbuka mwezi wa tisa nilikuja na Ombi kama la mtoa Mada kutafuta mashamba Ifakara au DAKAWA! Ifakara nilishindwa sababu ya usimamizi, nikaona ni opt DAKAWA! Uzuri huwa siingii sehemu kichwa kichwa!

DAKAWA sikuwa na mwenyeji hivyo niliamua mwenyeji wangu wa kwanza awe mwenyekiti wa Kijiji au mtendeji! Bahati nzuri nilimpata mwenyekiti wa Kijiji na baadaye nikaelekezwa kwa mwenyekiti wa ushirika nikapewa taratibu zote na namna ukodishwaji unavyokuwa!

Ukipata wa kukukodisha ambaye ni mwanaushirika lazima uende naye ofisi za ushirika wamtambue na mjaze fomu ya makubaliano kwamba utalima wewe badala yake kwa misimu mtakayokubaliana!
 
Mkuu hembu tudadafulie kidogo ilikuaje!
Mpaka wakakuibia hizo pesa?
Nilitafuta nashamba Morogoro,,nikiwa napeleka pesa na angalia mashamba,,walipovuna wakatembea nao mpunga,,nilitegemea kupata zaidi ya 150m,,mpaka Leo nimerudi nyuma kimaisha,nilifungua kesi dakawa polisi mahakama ipo mvomero kijiji nakuambia wakaaza kuniloga nikifika mahakamani napiga makelele,DC,naviongozi wengine wakamati ya ulinzi na usalama walinisaidia sana ikafika kipindi nikawaambia Mimi basi nasamehe,nakumbuka sakasaka hilo lilimtesa sana mke na mtoto wangu.maisha yalikuwa magumu sana
Mpaka Leo madhara yake nimakubwa bado
Mimi ni mkristo mkatoliki..nilipita kwenye makanisa ya maombezi mengi sana nabado hali ikawa ngumu sana sana
Mwishoni nikaenda kwa Marehemu Mufti simba alikuwa ananisomea kisomo kwa muda wa miezi mitatu mpaka anafariki
Niliumia sana nilipita kwenye kipindi kigumu cha maisha yangu na mshukuru sana Mwenyenzi Mungu Mkuu mpaka Leo naishi na sitaki tena urafiki wapesa
 
Aisee pole sana mkuu!
Inauma sana hasa pale jasho lako linapokutesa na kutaka kukutoa roho kwasababu tu ya tamaa ya Mali kwa mtu ambaye hata hujui alihangaika kwa namna gani kuzipata!
Very painful kwa kweli.
Nilikua na plan ya kwenda kulima kibiti kilimo cha matikiti au endapo mtaji utaruhusu nitatafuta shamba ulanga nilime mpunga but under conditions ya kumuweka ndugu yangu kabisa ili awe msimamizi na yeye ndio awe anawapa kazi ya vibarua watu na usimamizi wote uwe juu yake.
 
Sawa kabisa
 
Nilitafuta nashamba Morogoro,,nikiwa napeleka pesa na angalia mashamba,,walipovuna wakatembea nao mpunga,,nilitegemea kupata zaidi ya 150m,,mpaka Leo nimerudi nyuma kimaisha,nilifungua kesi dakawa polisi mahakama ipo mvomero kijiji nakuambia wakaaza kuniloga nikifika mahakamani napiga makelele,DC,naviongozi wengine wakamati ya ulinzi na usalama walinisaidia sana ikafika kipindi nikawaambia Mimi basi nasamehe,nakumbuka sakasaka hilo lilimtesa sana mke na mtoto wangu.maisha yalikuwa magumu sana
Mpaka Leo madhara yake nimakubwa bado
Mimi ni mkristo mkatoliki..nilipita kwenye makanisa ya maombezi mengi sana nabado hali ikawa ngumu sana sana
Mwishoni nikaenda kwa Marehemu Mufti simba alikuwa ananisomea kisomo kwa muda wa miezi mitatu mpaka anafariki
Niliumia sana nilipita kwenye kipindi kigumu cha maisha yangu na mshukuru sana Mwenyenzi Mungu Mkuu mpaka Leo naishi na sitaki tena urafiki wapesa
Kila napowaza scenario kama hizi, nasita kabisa kumuamini mtu nisiyemfahamu kumfanya msimamizi wa hela yangu hata kama ni elfu 10! Akishakudhurumu anachowaza kingine ni kukuangamiza kabisa! Ubinadamu kazi
 
kwa heka 15 mkuu jipange zaidi ya milioni 4 utafanikisha zoez ,,hapo weka pembeni gharama za kuvunia na kutoa mzigo shamba

Mkuu,,,,hii gharama imejumlisha na kukodi shamba??anatumia mvua au kuvuta maji na kupeleka shambani??naona gharama ni ndogo kwa eka hizo
Nb nimelima eka 15 za mpunga nilianza na maji ya kuvuta kupelekea shambani bt kwasasa mvua inatubust japo si sanaa
 
Back
Top Bottom