Kampuni za ukodishaji Helicopter

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Wakuu habari za leo

Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
 
Wakuu habari za leo

Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
Niliona Kenya wamezindua Uber ya helicopter..jaribu kurequest huko.Huku kwetu mhh sijui
 
Naipenda jf maana nacheka Sana sio kwa majibu haya
Mkuu fanya ku-google tu
 
Back
Top Bottom