Naomba kufahamishwa haya kuhusu kozi ya international Business Management

mzungu wa roho

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
209
140
naomba kuuliza
-Mtu asiyejua hesabu anaweza kusoma course ya international business management (in Kenya au Tz)

-Je ni course gani inamfaa mtu asiyeweza hesabu na kidogo kuna uwezekano wa ajira au kujiajiri?(kwa level ya degree)

Msaada wenu wakuu hesabu haijawahi kuacha watu salama.
 
hahahaha unaogopa hesabu sana but kwa chuo Mi naona kama unaamua kuwa serious hesabu sio ishu kubwa but tambua kozi nyingi za biashara lazima upewe hesabu japo kwa semester mbili
 
naomba kuuliza
-Mtu asiyejua hesabu anaweza kusoma course ya international business management (in Kenya au Tz)
-je ni course gani inamfaa mtu asiyeweza hesabu na kidogo kuna uwezekano wa ajira au kujiajiri?(kwa level ya degree)

*msaada wenu wakuu hesabu haijawahi kuacha watu salama
Kama hawezi hesabu anaweza somk gani?
 
Back
Top Bottom