Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza,yafuatayo ni mambo kumi (10) ambayo kama binadamu haipendezi/haipaswi kuyafanya:-
1. Kuwambia watu matatizo yako: Acha hii haifai labda endapo tu mtu au watu utao waambia wanaweza kukusaidia moja kwa moja hilo tatizo lako, watu unao...
;Mkuu Nsema mbegu za azolla mara nyingi hupatikana kwenye mashamba ya mpunga na madimbwi pia unaweza kupata kwa mtu ambaye atakuwa amelima zao hili.
Kuhusu soko naona kuna maelezo mazuri sana ya wadau kwenye comments zilizopita.
Pia kuhusu general Management ya Azolla kwa kifupi ni kwamba...
Mbegu Tunazo ila kama upo kati ya mikoa ya Mwanza, Mara na Mbeya huko mbegu hupatikana kwa wingi katika madimbwi na mashamba ya mpunga, kwa kipimo hicho unaweza vuna kilo tatu(3kg) hadi nne(4kg) kwa siku hivo kwa hio siku moja unaweza kulisha kuku wakubwa thelathini(30) mpaka arobaini(40) hii ni...
Mkuu denoo49, Azolla inaweza kutumika kwa kuku na mifugo mingine kama ng'ombe, sungura n.k, ikiwa katika hali ya ubichi( fresh) au ukavu (dried).Lakini azolla mbichi huwai kuharibika kwahiyo kama ipo nyingi unashauriwa kuikausha kwanza kwa matumizi ya muda mrefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.