Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,037
Nimepanda Azzola ya kutosha, natafuta soko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepanda Azzola ya kutosha, natafuta soko
;Mkuu Nsema mbegu za azolla mara nyingi hupatikana kwenye mashamba ya mpunga na madimbwi pia unaweza kupata kwa mtu ambaye atakuwa amelima zao hili.Ndugu wana Jf hasa jukwaa hili LA ujasiriamali na biashara.nilikuwa nauliza je ?
Je kilimo cha Azolla mbegu zake hupatikana wapi,na ukilima Soko lake likovipi.
Vipi General management yake ikoje?
Ndugu wana Jf hasa jukwaa hili LA ujasiriamali na biashara.nilikuwa nauliza je ?
Je kilimo cha Azolla mbegu zake hupatikana wapi,na ukilima Soko lake likovipi.
Vipi General management yake ikoje?
Mtu aliniambia kg 1 inafika 35 elfu yuko musomaView attachment 564887View attachment 564888View attachment 564889 Mavuno yangu ya kwanza haya hapa, Naombeni bei elekezi Wadau nataka niuze sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unauza mbegu za azolla? kiasi gani unauza kwa kgNjoo mwasonga huku tunazalisha Azolla! Njia ya kuelekea dar es salaam zooo
Natumia kwenye mifugo yangu
Mkuu hivi naweza tumia hii TSP ya punje?Azona ni aina ya magugu maji ambayo yanaonekana kuwa na kiasi kikubwa cha protein 20-30%. Azolla hutumiwa kulisha wanyama, kuku na Samaki.
Hili ni zao ambalo linaweza kuzalishwa kwa urahisi sana maana linaitaji jua, mbolea na maji pekeake. (Ila sio direct sunlight)
Mbegu ni raisi kupata kwenye madimbwi. Kwa mfano mwanza azolla ipo sana kwenye vitalu vya mchele au madibwi. Ni kiasi cha kukusanya utakayoweka pata na kuweka kwenye eneo unalotaka kupanda na zitamultply kwa hraka sana.
Unaweza kulima azolla kwenye containers au madimbwi. Waweza tumia mbolea ya hydroponic, mbolea za chemicali na za asili.
Mkuu hebu fafanua zaidi kwenye direct sunlight; Je yanatakiwa kupandwa kwenye bwawa lililo kwenye kivuli tu?Azona ni aina ya magugu maji ambayo yanaonekana kuwa na kiasi kikubwa cha protein 20-30%. Azolla hutumiwa kulisha wanyama, kuku na Samaki.
Hili ni zao ambalo linaweza kuzalishwa kwa urahisi sana maana linaitaji jua, mbolea na maji pekeake. (Ila sio direct sunlight)
Mbegu ni raisi kupata kwenye madimbwi. Kwa mfano mwanza azolla ipo sana kwenye vitalu vya mchele au madibwi. Ni kiasi cha kukusanya utakayoweka pata na kuweka kwenye eneo unalotaka kupanda na zitamultply kwa hraka sana.
Unaweza kulima azolla kwenye containers au madimbwi. Waweza tumia mbolea ya hydroponic, mbolea za chemicali na za asili.
Nahitaji hiyo Azola , kama unayo nicheki kwa namba 0759229382Ninayo bado unahitaji?