Recent content by mzeewamwakidila

  1. M

    Dr. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    mwamwindi alikuwa rc wa iringa na kama alikuwa mwanamapinduzi hasa sielewi isipokuwa siku hiyo ya x-mas rc huyo nafikiri mauti yalikuwa yanamnyemelea aliondoka peke yake bila dereva kwenda isimani sehemu maarufu kwa kilimo cha mahindi sahemu inaitwa mkungugu akiwa ktk gari yake ya mkuu wa...
  2. M

    WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

    ni kweli uswahili mwingi umemzidi kwasababu alimuinulia vidole juu mh zungu ina maana alikuwa kama vile anamsuta mh mbunge, lkn jk mwenyewe atakuwa anamjua waziri wake nje ndani,na anajua mwenyewe alichomchagulia ,kwangu mie hafai hata udiwani
  3. M

    Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho

    kwani ni lazima wapae kutokea uwanjani(jka)?,mimi nilifikiri kwasababu wanatumia miujizaa wangeweza kupaa tokea eneo lolote ,na walipaswaniurukia hukohuko musoma
  4. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Huo Ni Wehu Mtupu Kuwa Mallya Ni Jasusi,na Nimesikitika Kusikia Hivyo Kutoka Kwa Mmoja Wa Wanasiasa Aarufu Nchini, Lakini Hii Inatuonyesha Ni Watu Gani Tulio Nao Ktk Siasa Za Nchi Hii Mie Nafikiri Prof Lipumba Ameona Uvivu Kufikiria Akaamua Kutoka Na Conclusion Yake Hiyo
  5. M

    Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini

    madega pamoja na kuwa amesoma ameonyesha kiasi gani ni mswahili kama mganga aliwaambia waingie kwa kuruka ukuta na ukuta wenyewe ndio ule haurukwi
  6. M

    Wanawake wa PWANI

    mzee japokuwa wachumba wengi wa kizazi hiki ni taabu tupu lakini mwanamke wa pwani ukimwoa lazima uwe na moyo wa kinabii yaani uwe mwepesi a kusamehe kwasababu vinginevyo unaenda jela kwasababu utamuua kwa vipigo na hasa mtu mwenyewe uwe unatoka ktk kona moja ya nchi yetu pale juuu
  7. M

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ndugu yangu huyo hakufai kama ameweza kufanya mambo haya ktk uchumba atayafanya sana ktk maisha ya ndoa kwasababu ktk ndoa kuna kupanda na kushuka, pia wewe mwenyewe utaishi kwa mashaka hebu fikiria siku umemkuta anasalimiana na mmoja wa hao jamaa mawazo yako yatakupeleka wapi? utakachowaza ni...
  8. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    nnape amekosea gia aliyotumia hatapata u,kiti,yeye angeahidi vitu kama kanga,t-shirts,kofia ,pilau na pesa juu na kuonyesha kuwa hapati makamba alishampinga kauli ya nnape akitaka atumie vikao,zengwe hilo tayari
  9. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    ndio tunakubaliana sote huyu bwana ni mtaalamu mzuri sana wa moyo na tatizo lake kubwa kw sasa ni yeye na nssf ambao wanamdai kodi ya pango, hivi yeye kama mtaalamu hatakiwi kufuata taratibu ? ikiwamo kulipa kodi za pango?
  10. M

    Wake wa Marais wetu na Mambo yao

    nao wanaosafirisha watu kubeba unga wana mkosa yao pia ambayo hayahalalishi wizi wa mrs
  11. M

    Rostam aibukia kanisani!

    Nimefurahi Kidogo Bwn Mbwambo Kwa Kuchambua Udhaifu Wa Viongozi Wa Kkkt, Lakini Pia Na Wewe Bwambo Kama Mwandishi Veteran Unajishushia Heshima Yako Kwa Kuandika Habari Za Kusikiasikia Tu
  12. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    kinachotaka kutokea tanzani sasa hivi ni kuletwa kijiaina cha usultan kama babako au mamaako yuko ktk uongozi wa juu na watoto wanafuatia humohumo,
  13. M

    Ronaldinho To Milan - Official

    dida hana namba siku hizi kadrop kiwango,bado milan wamejaa mno wakongwe inatakiwa waongezeongeze kidogo damu mpya
  14. M

    Natafuta Mme !

    aaaaahh! hapo kwanza kabisa c binti ushakutana na dharuba nyingi saaana pili huna mpango wa kuolewa aina ya mume umtakae inaashiria jinsi ulivyo mtatanishi, sijui labda utafanikiwa
  15. M

    Rostam aibukia kanisani!

    Mtikila Ndugu Yetu Ni Afadhali Angetuliza Ball Tu Kelele Zoooote Kumbe Anazunguka Nyuma Kuvuta ,ina Maana Kelele Zoye Za Mchgj Huwa Ni Gia Ya Kutafutia Pesa Ama Kweli Tz Bado Kupata Wanasiasa Wa Kweli
Back
Top Bottom