Recent content by Mzeee Suleiman

  1. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo Afghanistan

    Dah! Nawaza tu kuhusu bongo maana hali ya usalama wetu ni tulivu saana sijui siku hiyo nani atashinda.
  2. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kashfa nchini Kenya: Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Seneti kuhusu Covid-19 ajiuzulu

    Pole sana ila ukweli mnaujua wakenya kuwa corona ni siasa tu nchini kwenu
  3. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Musoma: Shule yanusurika kufungwa kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kishirikina

    Dawa ya Moto ni Moto. Kwenye uchawi peleka waganga Moto uwake hapo hali iwe shwari,Mila juu ya Mila
  4. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi akamatwa na kuwekwa karantini baada ya kumbaka mgonjwa wa Corona

    Kabisa yani
  5. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi akamatwa na kuwekwa karantini baada ya kumbaka mgonjwa wa Corona

    Acha siasa iitwe siasa aisee! Kashatolewa mtu kafara hapo ila hakuna kubaka Wala nini ila wamekubaliana wakapigana miti ukizingatia corona yenyewe ni promo ya mabeberu
  6. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

    Wengi tunajua CHUMA anapita hivyo wengi tutampa sounda😁😁😁😁 mala paap! Huyooo Kaibuka kimasihara tu,kura yangu unayo mzee
  7. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara kwa feni ya rejeta kuwaka moja kwa moja?

    Jamani kuna fundi mzuri wa wire na cooling system,namtafuta aliye kibaha pwani
  8. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

    Mkuu gari yangu ni cheser gx100, dashboard haisomi hivyo gia haziingii ipasavyo naomba mawasiliano yako nipo pwani kibaha,pia nahitaji unikagulie gari langu
  9. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari za CoronaVirus: Wafanyakazi wa Kenya Airways kuendelea na likizo isiyo na malipo

    Tungeendelea kuogopeshana na huku kwetu nahisi ndo tungekuwa na Visa vingi zaidi ya Kenya na Africa nzima, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI CHUMA
  10. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

    Wanamuiga chuma kwa utendaji wake ulio tukuka
  11. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Trump aahirisha mkutano baada ya ukosoaji

    Siasa za marekani sio za bongo ila mh! Mbona Kama mwaka wake hivi😄 atatoboza kweli?
  12. Mzeee Suleiman

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Kangi yukowapi Kama mnatenda haki? Achaneni na wapiga kura wetu wampitishe chuma October banaaaaaaa😁😁😁😁😁
Back
Top Bottom