Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

Kufifia kwa taa za gari kuna weza kusabibishwa na nn haswa. Na je unashughulikia hili swala pia? Kama ndio gharama zake zikoje mpka kurudisha gari iwe na mwanga mkali kwa ilipokua mpya?
 
Kufifia kwa taa za gari kuna weza kusabibishwa na nn haswa. Na je unashughulikia hili swala pia? Kama ndio gharama zake zikoje mpka kurudisha gari iwe na mwanga mkali kwa ilipokua mpya?

Yes ninaweza kukupimia na kukurekebishia tatizo lako.

Ipo hivi, kufifia kwa mwanga wa taa husababishwa na matatizo kwenye charging system ya gari yako. Alternator ndiyo ambayo inahusika na suala la kucharge battery na pia ndio inahusika katika kuzalisha umeme ambao hutumika wakati umewasha gari yako.

Taa kufifia maana yake ni kwamba umeme unaozalishwa ni mdogo kuliko unaohitajika. Tatizo linaweza kuwa dogo sana lakini pia linaweza kuwa kubwa ambalo likakulazimu kubadili alternator yako.

Ukiachana na pulley ya alternator kuteleza kwa sababu ya mkanda kulegea au kuisha, matatizo yaliyobaki ambayo yanapelekea mwanga kufifia ni matatizo ga umeme hapohapo kwenye alternater.
 
Yes ninaweza kukupimia na kukurekebishia tatizo lako.

Ipo hivi, kufifia kwa mwanga wa taa husababishwa na matatizo kwenye charging system ya gari yako. Alternator ndiyo ambayo inahusika na suala la kucharge battery na pia ndio inahusika katika kuzalisha umeme ambao hutumika wakati umewasha gari yako...
Asante sana mkuu!! kwanini usiwe una toa siku kadhaa ndani ya week au weekend labda jumamosi na jumapili, kufanya consultation ya wateja wako wa Dar ambao nadhani ni wengi sana. Wenye matatizo ya umeme kwenye gari zao. Ukishafahamika itakua rahisi watu kujufata moro.
 
Asante sana mkuu....kwanini usiwe una toa siku kadhaa ndani ya week au weekend labda jumamosi na jumapili, kufanya consultation ya wateja wako wa Dar ambao nadhani ni wengi sana. Wenye matatizo ya umeme kwenye gari zao. Ukishafahamika itakua rahisi watu kujufata moro.

Mkuu haina shida... Kwa huko siku za mbeleni nimepanga kuwepo Dar kila inapofika weekend.
 
Kwanza kabisa naomba radhi kwa sababu thread kidogo ni ndefu. Lakini ni muhimu kuisoma kwa sababu inaweza ikaokoa gharama kubwa au hata kuokoa maisha yako.

Sasa tuendelee...
Mkuu gari yangu ni cheser gx100, dashboard haisomi hivyo gia haziingii ipasavyo naomba mawasiliano yako nipo pwani kibaha,pia nahitaji unikagulie gari langu
 
Mkuu gari yangu ni cheser gx100 ,dashboard haisomi hivyo gia haziingii ipasavyo naomba mawasiliano yako nipo pwani kibaha,pia nahitaji unikagulie gari langu


Namba yangu hii hapa... 0621221606... Ukipiga au ukituma message whatsapp itakuwa vizuri zaidi.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom