Recent content by mzee wa ukweli

  1. M

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    Wee kidole007 unafanana na jina lako acha viroba vyako toa sababu siyo Mahanga wenu alikaa ukonga miaka 15 hatukumwona hata kwenye mkutano mmoja kalidumaza jimbo , Mwaiposa siku chache tu maendeleo kibao umeme kivule karibu unaenea, makazi kipunguni katunusuru kuhamishwa , bara2mombaza...
  2. M

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    Tatizo kubwa hii mijitu inadhani fedha ni kila kitu. Jerry Slaa ndo hafai hafai kajamaa kananata hadi familia ilimshinda huyo. Ramesh muhindi hatumpi hatujamwona tangu tumpatie Nec na ahadi hajatimiza hata moja. Kama hatajitokeza mwingine naafiki huyo mama aendelee hana makuu ni mchapa...
  3. M

    Meya Jerry Silaa wa Ilala amfikisha Polisi Mwenyekiti wa Mtaa wake kutoka CHADEMA

    Bwana haka kajamaa kamemshtaki kuwa wafuasi wake walivunja vioo vya nyumbani kwake wakati wanashangilia ushindi lkn hata kada wa ccm barongo kaunganishwa pis. Jerry anamwogopa sana barongo maana anakubalika G.mboto na ametangaza kugombea udiwani. Mimi nina wasiwasi na huo ubunge anaoutaka maana...
  4. M

    Meya wa Ilala aikimbia kata ya Gongo la Mboto

    Mshikaji tumekachapa kajamaa hakakuamini. Mh Slaa alidhani wote ni wanawake wa baa kama anavyowaita hiyo miccm yake. Kwamba yeye anasubiri wakati wa uchaguzi anamimina hela za ufisadi na kupewa kura. Tunamsubiri udiwani nawaambia hata kura mia hatapata. Pesa tutakula na tutammimina vilevile
  5. M

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Jamani kweli waliosema "simple minded person always discuss about people" Hamchoki tu hayo majina?
  6. M

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Hamna chochote bado hawezi kupewa nchi. Kaingia juzi nchi kaijua lini? Acheni ushabiki usio na maana
  7. M

    Jerry slaa mmmh

    Wote ni she ila wanazuga. Huoni alivyo beurtful
  8. M

    Dar es Salaam City in Photos

    Nakupongeza huo ndo uzalendo Ndinda
  9. M

    Tuchagueni wabunge wengi wa upinzani

    Sasa ndugu yangu tunamwachaje mbunge aliyefanya vizuri jimbo ? Kila siku kuwa na viongozi wapi haina tija ila nakuunga mkono wale waliofanya vibaya tuwatose
  10. M

    Ukonga tusidanganyike Jerry Slaa hafai

    Sisi Gongolamboto tumemtimua mkitaka mpeni jimbo mtaona live usaniii was huyo Diamond. Anasema anafukuzia uwaziri .
  11. M

    Mh Mwaiposa nakukubali

    Huyu jamaa nina wasiwasi na shule yake au kila anapotuma ujumbe huwa kalivuta lazima tumripoti kwa Kova na chama chake cha mafisadi
  12. M

    Diwani wa Kivule unatuchanganya kuhusu barabara ya njia sita

    Hiyo Mr. Imejipachika kinoma nilimaanisha huyo mama mwaiposa mbunge
  13. M

    Mh Mwaiposa nakukubali

    Wee naona ni mpambe mi CCM haifai inatakiwa kuondoka tu. Swala si Mwaiposa ni hayo mafisadi anayoyawakilisha
  14. M

    Diwani wa Kivule unatuchanganya kuhusu barabara ya njia sita

    Jamani huyu Nyansika mimic simwelewi anasema barabara ya njia sita toka Banana - Kitunda -Kivule hadi Chamanzi ipo lakini asemi tutalipwa lini na itaanza . Kamati na Mbunge wanasema mradi huo bado hautambuliwi na serikali na barua wanazo. Huyu diwani ana nia gani au yeye kazi yake ni...
  15. M

    Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

    Msema ukweli mpenzi wa Mungu.Pamoja na changamoto za Ukonga Mbunge amejitahidi sana huku chanika tunaye kila mara na barabara chanika msumbiji ambayo ilikuwa haipitiki ametengeneza , katuletea maji, na kajenga kituo kikubwa cha kiwilaya cha polisi kimani . Ni mchapa kazi mama wa watu acheni fitna
Back
Top Bottom