Meya wa Ilala aikimbia kata ya Gongo la Mboto

singsong

Member
May 7, 2014
77
9
Hongereni wana ukawa kwa kazi kubwa mliyofanya Ukonga.
Mmemkomesha msanii Jerry Slaa kwa kumweka chini ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa toka Ukawa.

Mh Slaa ajifunze kuwa siasa za sasa wa hawajali fedha ,wanakula na wanakumimina pia.

Kesho fanyeni tena mtaa wa GONGOLAMBOTO na Ulongoni. Meya ajulikani aliko na amewaacha Ccm Get.mboto kama yatima au anaogopa maana kila akitembea mtaa ana walinzi na bado anazomewa na vijana.
Wembe ule ule watu wangu.
 
Mshikaji tumekachapa kajamaa hakakuamini. Mh Slaa alidhani wote ni wanawake wa baa kama anavyowaita hiyo miccm yake.
Kwamba yeye anasubiri wakati wa uchaguzi anamimina hela za ufisadi na kupewa kura.
Tunamsubiri udiwani nawaambia hata kura mia hatapata.
Pesa tutakula na tutammimina vilevile
 
Back
Top Bottom