Jerry slaa mmmh

Jerry slaa mmmh

najishangaa mwnywe nimekuwa nikimuota sana huyu stahk meya wa ilala duh cjui ni mawazo y maisha au vp?nkimwona kwny magazeti sasa nalisoma mwaka mzma,akiwa kwny habar nataman iwe habar hyo tu duh haya c majanga ya kuota ndto za alinacha?am i crazy?

me ndo jeri slaa mwenyewe..niPM
 
Mimi sipo Chakula !!!! kwani kuna shida gani mbona mna wivu.kwani mmekatazwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom