Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

Msema ukweli mpenzi wa Mungu.Pamoja na changamoto za Ukonga Mbunge amejitahidi sana huku chanika tunaye kila mara na barabara chanika msumbiji ambayo ilikuwa haipitiki ametengeneza , katuletea maji, na kajenga kituo kikubwa cha kiwilaya cha polisi kimani . Ni mchapa kazi mama wa watu acheni fitna
 
1. David Mathayo David
2. Wenje
3. Magufuli
4. Mchungaji Msigwa
5. Kivia
6. Koney wa Mbulu
7. Anna Tibaijuka
8. Anna Makinda
9. Hamis Kigwangala
10. Lissu
11. prof Magembe
Kigwangalla anagombea Urais, labda kama unamaanisha hatorudi jimboni kwa sababu unaamini kuwa atashinda Urais, vinginevyo akigombea Ubunge hakuna cha kumkwamisha kurudi
 
Hao wote watarudi bungeni hao maana kama wewe hueapendi wanapendwa na wengi, mi najua mbunge ambae hatarudi bungeni ni mohamed dewji wa jimbo la singida mjini, ila tundu lisu ni dhahabu ya singida
 
wabunge wote wa ccm uwezekano wa kurudi tena bungeni 2015 wasahau hizo pesa wanazoendelea kula kwenye bunge la katiba ndo za mwisho hizo wajiandae kwenda kulima mahindi huko kwao
 
Deo sanga
samweli sitta
zitto kabwe
mathias chikawe
william lukuvi
steven wasira
hawa ghasia
wabunge wote wa mtwara
shibuda
n.k
 
Back
Top Bottom