Sijui ni Malaria? Yani naumwa kweli, hata kula nashindwa; asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu, maandazi 7, mihogo 7, vitumbua 10, mikate 6, magimbi 5, ndizi za kukaanga 4, sambusa 5, sahani za ubwabwa 3, mtori bakuli 2, pilau sahani 5, kulikuwa na kiporo cha makande nimejazia jazia ivyo...