Mzee wa Shida
Member
- Nov 29, 2014
- 66
- 5
Sijui ni Malaria? Yani naumwa kweli, hata kula nashindwa; asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu, maandazi 7, mihogo 7, vitumbua 10, mikate 6, magimbi 5, ndizi za kukaanga 4, sambusa 5, sahani za ubwabwa 3, mtori bakuli 2, pilau sahani 5, kulikuwa na kiporo cha makande nimejazia jazia ivyo ivyo kigonjwagonjwa.
Sahivi natoka kwa Doctor kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula, kwa kweli hali yangu ni mbaya.
By Mwanao mkristo rose
Sahivi natoka kwa Doctor kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula, kwa kweli hali yangu ni mbaya.
By Mwanao mkristo rose