Mzee wa Shida
Member
- Nov 29, 2014
- 66
- 5
Wamachinga kote nchini waache kulalamika kuwa wanafukuzwa katika maeneo yao ya biashara wakati wao ndio wanakuwa chanzo. Nasema haya kwa sababu wamachinga wengi wanabuni biashara zao maeneo ambayo hayastahili kufanyia biashara. Mfano kama huyu hapa kwenye kona kabisa anastahili?