heche sijui huwa anasaidiwa na nani kuandaa matamko yake maana sioni kitu chenye mashiko jamani mm nashindwa kuamini kama jamaa ni graduate kabisa, mwone asivyo na upeo katika kupangilia hoja yaani mm nahisi kichefuchefu tu eti ndiye kiongozi wa vijana hahaa wapi hao, likisimama kwenye mikutano...
mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya...
kubenea
-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti
-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa
-analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibaya
slaa
-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa
-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu
-ndio sababu hamtaji...
walizusha last week kuwa kazaa, ila leo hata mimi kuna dereva wa pale makao makuu ya cdm ameniambia hii news leo, mzee slaa bwana alikosa vitu hivi miaka yote ya ujana wake alipokimbia utawa tu akakutana na dunia akadata ona anavyokula raha za dunia sasa.
YES BEN,
In whese symbolic shadows we stand today, signed the Emancipation Proclamation. This momentous decree came as a great beacon light of hope to millions of Tanzanians who had been seared in the flames of withering injustice, It came as a joyous daybreak to end the long night of their...
na mimi nimewaona, kumbe huyu jamaa ndie heche, hahaa kwa hiyo cdm huyu ndiye kichwa kwa vijana wao wote? hahaa kazi sana sioni mnachowasifia hawa vijana kwa mimi huyu heche nilidhani atakua mtu wa uono kumbe nae ni kujaza hewa tu tumboni oneni anavyojiuma hadi nape anamcheka.
natamani nisikie...
hahahaa hakuna rushwa hapo, aliyekurupuka ni slaa ili awahadae wananchi wamwone kuwa ana taarifa za ndani za kiutafiti, mm nimechoka na hawa wanasiasa, kumbe inawezekana ccm ikarudi tena madarakani.
padre mzushi hivi, ndio maana alijiondoa kwenye zizi la kondoo mapema.
ni bora cdm kiwe na bila katibu mkuu kuliko kuwa na slaa anayetupa matumaini hewa kwa kuropoka kwenye vyombo vya habari, kisha kesho anakanusha..anatoa habari mpya tena haahaaa cdm mna kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.