Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION

• Total voters
93
• Poll closed .
Majibu haya yanapingana na ya Slaa alipojibu maswali hapa Jf j2 fulani zilizopita, kwani alikiri na kusema Igunga inahitaji mwana Igunga anayejua matatizo ya pale siyo kwa kuhadithiwa. sasa unapompeleka mtu mwa kisesa igunga hiyo ni dhahiri kuwa ni tamaa ya madaraka na sio uwakilishi, kwani unataka uniambie wilaya nzima hawana muwakilishi mpaka cdm mumpeleke mtu wa mbali? kwahilo mngekiri kuchemka. hapo upinzani itakuwa baina ya Amina said Fundikira na Lucas Mahona na hapo magamba watafanya kila mbinu Naye Mzee fundikira apate mlith serikalini

...kwa nini unaleta mambo ya kipumbavu wewe!kwako uwakilishi wa wananchi si hoja, hoja ni mzee Fundikira apate mrithi..mawazo ya kishenzzi kabisa!!

Mbona Chambiri ni mbunge wa Babati na alimshinda Kwaangw mwenyeji? Achaguliwe mtu atakayeondoa Rostamphilia Igunga. Huwezi kuendesha jimbo kwa fedha zako mwenyewe au kuleta maendeleo kwa pesa zako za mfukoni.

Waulizeni waliojaribu kam Mkono, Rostam na wengine. Rorya nako nasikia kuna Lakairo anadai anaweza kuendesha jimbo bila kutegemea budget ya serikal ameshashindwa.

Kwa hiyo tunashauri wana-IGUNGA wamchague mtu anayejenga hoja mjengoni na anayeweza ku-lobby na kuhamasisha maendeleo kwenu.

Waliochukua fomu hadi sasa ni

CHADEMA

1. Gideon Kwandu

2. Anwari Luhumbiza Kashaga

3. Erasto Tumbo, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP

CCM

1. Amina Said Fundikira

2. Shamshu Ibrahim

3. Adam Kamange

4. Ngasa George.

CUF

1. Lucas Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

CUF wapo kwenye nafasi nzuri!

Kazi kwenu Igunga kuamua kunyoa au kusuka mjue ndo kitanza mtajipiga hadi baada ya miaka mi4

msipe moyo tumbo jamaa mwaka jana amegombea kisesa akapata kura 3400 na mshindi alipata kura 26000 muone tofauti hapo jamaa analeta tamaa za kijinga

Mi kwa mawazo yangu naona bado RA ana nafasi kubwa ya kuamua nani awe mrithi wake. Kwa vile RA bado ni mwanachama mtiifu wa SISSIEM,hivyo basi kwa nafasi yake anauwezo mkubwa wa kutia mkono wake pale Igunga ili apatikane mwakilishi ampendaye tena from SISIEM!

Angalizo: Kama RA ana kinyongo cha the whole process ya kujivua gamba, basi wapinzani wanaweza kuibuka videdea, Otherwise RA yupo radhi kuhakikisha (tena kwa garama yoyote ile) kuwa jimbo lake haliendi kwa Opposition parties!

Mchuano wa vyama waanza Igunga

WANASIASA 26 wamejitokeza kuwania kuteuliwa na vyama vyao kuwa wagombea wa ubunge katika Jimbo la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu.

Jimbo la Igunga limeachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake, Rostam Aziz ambaye alijiuzulu nafasi hiyo sambamba na nyadhifa zake zote ndani ya CCM Julai 14, mwaka huu.

Mpaka sasa ni vyama vya CCM, Chadema na CUF tu vilivyoonesha nia ya kuwania kuwania jimbo hilo huku vingine mbali na kutotangaza kutoa fomu, lakini pia vikikosa kuonesha hata bendera kama inshara ya kuwemo katika kinyang'anyiro hicho.

NCCR-Mageuzi imetangaza kutowania jimbo hilo na kutaka upinzani usimamishe mgombea mmoja. Jumamosi CCM ilifunga pazia la uchukuaji fomu hizo huku kukiwa na wagombea 13 wakati Chadema ikiwa na wagombea 12 huku ikitarajia kufunga pazia ya uchukuaji fomu hizo Jumanne.

Kwa upande wa CUF, Naibu Katibu Mkuu wake, Julius Mtatiro Jumapili alitangaza uamuzi wa chama hicho kumsimamisha Leopard Mahona (30) kuwa mgombea rasmi wa ubunge Igunga.

Akizungumza na 'Habarileo', Katibu wa CCM wa Wilaya ya Igunga, Neema Adamu alisema Agosti 18, mwaka huu Kamati ya CCM Mkoa itapitisha jina la mgombea wao.

Neema alisema katika uteuzi wa mgombea wa CCM, kura za maoni zitapigwa na wanachama wa matawi ya chama katika jimbo hilo.

Wanachama waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kupitia CCM ni Amina Ally Said, Ngassa Nicolaus, Shams Feruzi, Adama Brauni na Shell David na Dk. Dalaly Peter Kafumu ambaye ni Kamishna wa Madini nchini na aligombea mwaka jana na kushindwa na Rostam Aziz.

Wengine ni Makoba Mchenya, Joseph Omary, Self Hamis Gulamaly, Hamis Shaabani, Nathan Mboje, Hamadi Safari na Paul Ndohele.

Naye Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa Chadema, Waitara Mwikabwe alitaja wanachama waliochukua fomu za Chadema kuwa ni Kajua Sebastiani na Marco Amos.

Wengine ni Kahema John, Buzinza Magego, Dickson Samsoni, Anwari Luhumbi, Erasto Tumbo, Joseph Mwandu, Juma Katigula, Frank Matto, Joseph Mapalala na Juma Chaha.

Baada ya kufunga pazia la kuchukua fomu hizo Jumanne saa 10 jioni, Mwikabwe alisema kamati teule ya chama hicho itafanya kazi kupitia majina hayo na kuteua mgombea atakayepeperusha bendera yao.

Mtatiro kwa upande wake alimsifu mgombea wa chama hicho kuwa mbali na kuwa mwenyeji wa Igunga, ana uwezo wa kujenga hoja na utawala na kwamba kwa sasa CUF inafanya kazi ya kuimarisha mtandao wake katika jimbo hilo.

"Harakati zinazoendelea kuimarisha mtandao wa CUF wa kuibuka na washindi, Kamati ya Utendaji ya Taifa ya CUF ilikutana mjini Zanzibar ambapo pamoja na mambo mengine ilimpitisha rasmi Mahona.

"Mahona alipata kura zaidi ya nusu ya kura za Rostam na ndiye aliyepigana mpaka mwisho na kushinda vishawishi," alisema Mtatiro.

Alisema katika jimbo hilo CUF imeingia na operesheni chagua Mahona ambayo ni ya ushindi yenye lengo la kuhakikisha inashinda kwa kutumia uzoefu wake na mtandao.

Mtatiro alisema chama hicho kilituma vikosi mkakati ili kuweka sawa mazingira ya ushindi na kwa tathmini ya awali, anaamini chama chao kitapata mchuano mkali kutoka CCM.

Alisema tayari wana mkakati mzito wa kukabiliana na CCM kuhakikisha mgombea wao anapata ushindi na kuahidi kufanya kampeni za kistaarabu za kutangaza sera kwa wapiga kura kama Sheria ya Uchaguzi inavyotaka.

Kuhusu gharama zitakazotumika katika uchaguzi huo, alisema kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, Igunga ni miongoni mwa majimbo ambayo yanapaswa kutumia fedha zisizozidi Sh milioni 80.

Hivi karibuni, Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipiga marufuku vyama ambavyo vilikuwa vimeanza kufanya kampeni mapema kabla ya kupata ridhaa hiyo ya kuhalalisha kampeni hizo.

Kwa mujibu wa CUF, milioni 80 haitoshi, wameomba kiasi kipandishwe. My take: Milion 80 nadhani ni danganya toto, CCM wanaweza kutumia hata bilion wakiona mambo magumu. Subirini tuendelee kushuhudia sarakasi za magamba.

Latest UPDATES:
Waliochukua fomu hadi sasa Chadema 12 CCM 13 CUF 1 kama ifuatavyo;

CHADEMA (Mwisho wa kuchukua fomu kesho trh 16/8)

1. Kajua Sebastiani
2. Marco Amos
3. Kahema John,
4. Buzinza Magego,
5. Dickson Samsoni,
6. Anwari Luhumbi,
7. Erasto Tumbo, aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP
8. Joseph Mwandu,
9. Juma Katigula,
10.Frank Matto,
11.Joseph Mapalala
12.Juma Chaha.

CCM (Walifunga pazia la kuchukua fomu trh 13/8)

1. Amina Ally Said,
2. Ngassa Nicolaus,
3. Shams Feruzi,
4. Adama Brauni
5. Shell David
6. Dk. Dalaly Peter Kafumu ambaye ni Kamishna wa Madini nchini na aligombea mwaka jana na kushindwa na Rostam Aziz.
7. Makoba Mchenya,
8. Joseph Omary,
9. Self Hamis Gulamaly
10.Hamis Shaabani
11.Nathan Mboje
12.Hamadi Safari
13.Paul Ndohele.

CUF (Wamefunga pazia na wamempendekeza Mahona)

1. Leopard Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

Hivi Mtaji wa CCM Igunga Wahindi na Maburushi??

Latest UPDATES:
Waliochukua fomu hadi sasa Chadema 12 CCM 13 CUF 1 kama ifuatavyo;

CHADEMA (Mwisho wa kuchukua fomu kesho trh 16/8)

1. Kajua Sebastiani
2. Marco Amos
3. Kahema John,
4. Buzinza Magego,
5. Dickson Samsoni,
6. Anwari Luhumbi,
7. Erasto Tumbo, aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP
8. Joseph Mwandu,
9. Juma Katigula,
10.Frank Matto,
11.Joseph Mapalala
12.Juma Chaha.

CCM (Walifunga pazia la kuchukua fomu trh 13/8)

1. Amina Ally Said,
2. Ngassa Nicolaus,
3. Shams Feruzi,
4. Adama Brauni
5. Shell David
6. Dk. Dalaly Peter Kafumu ambaye ni Kamishna wa Madini nchini na aligombea mwaka jana na kushindwa na Rostam Aziz.
7. Makoba Mchenya,
8. Joseph Omary,
9. Self Hamis Gulamaly
10.Hamis Shaabani
11.Nathan Mboje
12.Hamadi Safari
13.Paul Ndohele.

CUF (Wamefunga pazia na wamempendekeza Mahona)

1. Leopard Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

Wapiga kura hawatabiriki. Ni kusubiri tu. Nchi zetu hizi bwana, majority of voters are ignorant their duties. Ni ushabiki tu hata pale ambapo hapastahili

Latest UPDATES:
Waliochukua fomu hadi sasa Chadema 12 CCM 13 CUF 1 kama ifuatavyo;

CHADEMA (Mwisho wa kuchukua fomu kesho trh 16/8)

1. Kajua Sebastiani
2. Marco Amos
3. Kahema John,
4. Buzinza Magego,
5. Dickson Samsoni,
6. Anwari Luhumbi,
7. Erasto Tumbo, aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP
8. Joseph Mwandu,
9. Juma Katigula,
10.Frank Matto,
11.Joseph Mapalala
12.Juma Chaha.

CCM (Walifunga pazia la kuchukua fomu trh 13/8)

1. Amina Ally Said,
2. Ngassa Nicolaus,
3. Shams Feruzi,
4. Adama Brauni
5. Shell David
6. Dk. Dalaly Peter Kafumu ambaye ni Kamishna wa Madini nchini na aligombea mwaka jana na kushindwa na Rostam Aziz.
7. Makoba Mchenya,
8. Joseph Omary,
9. Self Hamis Gulamaly
10.Hamis Shaabani
11.Nathan Mboje
12.Hamadi Safari
13.Paul Ndohele.

CUF (Wamefunga pazia na wamempendekeza Mahona)

1. Leopard Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.
Utabiri wangu (mtanisamehe)... Igunga itarudi mikononi mwa CCM au CUF.
CDM bado hawajatambua makosa wanayofanya mara kwa mara..

Utabiri wangu (mtanisamehe)... Igunga itarudi mikononi mwa CCM au CUF.

CDM bado hawajatambua makosa wanayofanya mara kwa mara..

Unaweza kufafanua hata kwa uchache mkandara?Haya makosa ambayo cdm wanayafanya mara kwa mara ni yapi?

Shauli yao wenyewe, njaa itawakomesha wenyewe kama watakosea tena kurudisha mtu anaefikiria kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o

Similar Discussions

Back
Top Bottom