TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Pasua kichwa!!Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima.
Pasua kichwa!!Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima.
in lema we believe, in cdm we trust
Penye red,ni ukweli usiyopingika!!

Katika sehemu duniani ambayo haiwezi kuwa na uhaba wa bangi ni arusha iko plenty sema tu sasa soko litashuka sababu mwezi wa ramadhani ndo huo wateja watapungua saaaana
Ulitaka apokewe na mafisadi wa CCCM?atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
inawezekana mwenzangu..ilaMkuu Mariah,
sio kwamba Omr haelewi, anaujua ukweli tatizo wanatimiza kazi waliyotumwa na serikali ya magamba, jioni wapate mshiko. jamaa wa aina ya Omr wapo wengi humu, Nape amewasambaza kweli

wana JF,

Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo akitokea dodoma, na kuelekea mjini na kufanya mkutano katika uwanja wa NMC.

Mh. Lema atatokea dodoma mida ya saa sita, na kufika Kisongo majira ya saa nane au saa tisa.

nawakilisha
sasa si jamaa yako ameona ni sifa kubwa Lema kupokelewa na madereva wa daladala.
mzalendo 80 sema mwenzangu...........ni madereva daladala wenye akili timamu na walala hoi wanaoona vya kwao vinaliwa na makada bila wao kunufaika navyo sa kwanini tusiwatoe nishai wanaotumaliza??????????wao walianza sie twamaliza mkuu.waendelee kuwa vilaza kwa kudai mwongozo kila kukicha...Kwaliompigia Kura ni Matajiri? siamepigiwa kura na hoa hao Madereva wa daldala na Walalahoi wamefurahishwa na utendaji wake wakazi wa waliomuajiri ndio wanaenda kumpa pongezi kwa kusema ambavyo wanavyotaka hao waliomuajiri au wapiga kura wake, wewe ndio kichekesho na kilaza kama Vasco Da Gama

Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima.
Mkuu tunashukuru kwa kutujuza, tunaomba utuletee uhondo huo sisi ambao tuko mbali.wana JF,
Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo akitokea dodoma, na kuelekea mjini na kufanya mkutano katika uwanja wa NMC.
Mh. Lema atatokea dodoma mida ya saa sita, na kufika Kisongo majira ya saa nane au saa tisa.
nawakilisha

Freedom Of Flag naomba uendelee kutujuza hadi wakati wa mkutano kama Naibu Meya Mhe. Malah atatinga leo.

Kwaliompigia Kura ni Matajiri? siamepigiwa kura na hoa hao Madereva wa daldala na Walalahoi wamefurahishwa na utendaji wake wakazi wa waliomuajiri ndio wanaenda kumpa pongezi kwa kusema ambavyo wanavyotaka hao waliomuajiri au wapiga kura wake, wewe ndio kichekesho na kilaza kama Vasco Da Gama
wako tayari,ganja imeshapanda, gomba usiku kucha kinacho fatia ni kufanya fujo. Nasikia siku hizi mnapata stimu kutoka kwenye mabomu ya machozi. Kweli kuna kazi arushaNimeongea nae kwa simu yupo Meserani kama DK 10 zimepita. ilikuwa 11:40.
Vijana jiandaeni.
dereva gani wa daladala anpiga kura, labda zile zinazo haribika uwa ni zao.madereva wa wa daladala hawakuwahi kumpokea JK popote nchini? Hawakuwahi kupiga kura? Hawaichagui ccm? Hawana maana kwako?

Nimeongea nae kwa simu yupo Meserani kama DK 10 zimepita. ilikuwa 11:40.

Vijana jiandaeni.