Recent content by Mzee wa Faida

  1. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Biblia kwa Jicho Jingine

    Awali ya yote Nikupongeze kwa Uandishi Ulio pangilika, Je wewe Ni bilionea Asigwa wa Fb? Tatu na mwisho, je nje ya Jamii forum unaweza kukaribisha maswali na hoja juu ya MUNGU?! Imeandikwa "Itafuteni KWELI nayo KWELI itawaweka HURU"
  2. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

    We mleta UZI ni MWANAMKE au Mwanaume? Maana si kwa mashushu hayo
  3. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Naomba nikujibu Kama hutojali, Maji ya BAHARI Yana sifa ya kuwa na CHUMVI, hivyo pale BAHARI zinapokutana MAJI yote huwa na CHUMVI sema kwa KIWANGO tofauti.
  4. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Imani za watu juu ya mdudu Mantis (Vunja Chungu}

    KOMA Tena kwa HERUFI KUBWA
  5. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Kama Una CHUKI vaa MIWANI usione GERE
  6. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Tanzania Kuna Paul MAKONDA na Daud BASHITE Sasa Kuna mmoja Anatumia Akili za Mwenzake
  7. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

    Kiongozi kama bado utakuwa na uhitaji nichek PM
  8. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Watoto na UFO (Unidifined Flying Objects) Aliens

    UFO wapo Ulaya (Whites Men ) Huku Africa Kuna VIBWENGO na Usiombe Ukutane Navyo!
  9. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mgonjwa wa CoronaVirus: Aga Khan wanaeleza kweli au tutarajie nini?

    Bora CORONA VIRUS kuliko MONEY LAUNDRYING
  10. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na watu wa Makinikia viongozi ni kama wako JELA la Nje

    Kuna WATU wanafanya BANGE ichelewe KURUHUSIWA!!
  11. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

    Huyu na LE MUTUZ Nani Anafaa kuwa BABU YAKO?!
  12. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

    Ipo Siku KARMA itafanya KAZI yake. Namnukuu Mkuu Wa Kantri "Kule Kwetu MAYALA ni NJAA"
  13. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya kukataza Ushoga/Usagaji ni IPI? Je, Nyeti za MTU ni Nyara ya serikali?

    Dhahabu ikikutwa Kwenye Eneo lako ni ya SERIKALI BANGE ikikutwa SHAMBANI KWAKO ni ya KWAKO
  14. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

    Nandy vs Halima Mdee - KAWE
  15. Mzee wa Faida

    JamiiForums Tanzania Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

    Kuna KILOSA, IHUMWE DODOMA,
Back
Top Bottom