Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

Accidental Genius

Senior Member
Aug 17, 2019
154
250
Habari wakuu,nauliza kwa wazoefu je ni gharama kiasi gani kujenga nyumba kubwa ya familia(vyumba 4 vya kulala).

Hapo ni zile gharama za kujibana kwelikweli,na tofali ni za block(kubwa).

Vilevile naomba kujua gharama za viwanja moro...

NOTE;IWE PEMBEZONI MWA MJI
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,485
2,000
Habari wakuu,nauliza kwa wazoefu je ni gharama kiasi gani kujenga nyumba kubwa ya familia(vyumba 4 vya kulala).

Hapo ni zile gharama za kujibana kwelikweli,na tofali ni za block(kubwa).

Vilevile naomba kujua gharama za viwanja moro...

NOTE;IWE PEMBEZONI MWA MJI
20mil haiishi , ila usimamie mwenyewe kwa maana ya vifaa vyote ununue wewe na baadhi ya maeneo ya ujenzi usimamie mwenyewe siku yanajengwa ili kulinda vifaa visiibwe , jitahidi ujenzi wako ukamilike ndani ya siku 60
 
Mzee wa Faida

Member
May 17, 2018
56
125
Habari wakuu,nauliza kwa wazoefu je ni gharama kiasi gani kujenga nyumba kubwa ya familia(vyumba 4 vya kulala).

Hapo ni zile gharama za kujibana kwelikweli,na tofali ni za block(kubwa).

Vilevile naomba kujua gharama za viwanja moro...

NOTE;IWE PEMBEZONI MWA MJI
Kiongozi kama bado utakuwa na uhitaji nichek PM
 
Mar 12, 2019
43
125
inategemea na wewe unfanya finishing ya aina ipi? ila kama una kiwanja tayari na kujenga nyumba yenye hadhi kidogo sio ilimradi nyumba andaa 45M+
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,225
2,000
Shida ni kwamba majibu yanakuja very abstract. Hamna majibu ya mchanganuo
Muuliza swali mwenyewe hajachanganua anataka nyumba ya aina gani. Kiwanja kikubwa vipi. Vyumba vya ukubwa gani. Nyumba ina master bedroom au haina? Madirisha ya aina gani? Juu bati au kigae? Na kadhalika.

Anataka nyumba ya kienyeji enyeji au standard kwa michoro na kila kitu?

Gharama nyingi za nyumba zinategemea na aina ya nyumba. Hata kwa nyumba ya aina moja, finishing tofauti zina gharama tofauti.

Sasa ndiyo kila mtu anajibu kwa standards zake. Mwingine anaona milioni 20 haiishi. Mwingine anaona milioni 60.

Swali halina detail, limetoa mwanya kwa majibu ya kila aina.
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,646
2,000
Muuliza swali mwenyewe hajachanganua anataka nyumba ya aina gani. Kiwanja kikubwa vipi. Vyumba vya ukubwa gani. Nyumba ina master bedroom qu haina? Madirishq ya aina gani? Juu bati qu kigae? Na kadhalika.

Gharama nyingi za nyumba zinategemea na aina ya nyumba. Hata kwa nyumba ya qina moja, finishing tofauti zina gharama tofauti.

Sasa ndiyo kila mtu anajibu kwa standards zake. Mwingine anaona milioni 20 haiishi. Mwingine anaona milioni 60.

Swali halina detail, limetoa mwanya kwa majibu ya kila aina.
Kweli Mkuu.
Muuliza swali hakuainisha kila kitu na wajibuji wamejibu hivyo hivyo sawasawa na walichoulizwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom