Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Nimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.

Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.

Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,

Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.

Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wazee wamefilisika. Hugo diamond ndiyo ataweza kuwawakilisha?
 
Nimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.

Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.

Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,

Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.

Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tanzania pekee ulimwengun wanaoitwa wasaniii kujiingiza kweny siasa sijuw ni njaa.

Wema si aligombea kule kw tundu lissu
 
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Mbona Mr 2 a.k.a Sugu, prof Jay wamo ? Kule uganda kuna Bobiwinne, kingwendu alishindwa tu. Afrika bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kugonga meza na kusema ndiyoooooo si kila MTU anaweza, wacha waende bongo movie na bongo flavour wote, tena bora ya hao kuliko hao waliosoma halafu ni wabunge.
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Watanzania watamreplace Zitto kwa Diamond, basi hii nchi inadeserves itawaliwe na madictator wote duniani for the next 500 years, may be generation hio itakuwa na akili.
 
Diamond ana nguvu na ni maarufu duniani kuliko ccm ni aibu na atakuwa ameshusha hadhi yake kugombea ubunge,pia ajifunze toka kwa wasanii wenzake waliochanganya siasa na biashara wamekufa kifo cha mende yuko wapi mzee wa upako,kakobe,rose muhando,wema sepetu,original comedy,tmk wanaume,maroo,bongo muvi,hakuna msanii aliyewahi kula mboga za kijani akabaki salama.
 
Kama Watanzania watamreplace Zitto kwa Diamond, basi hii nchi inadeserves itawaliwe na madictator wote duniani for the next 500 years, may be generation hio itakuwa na akili.
Hivi unawezaje kujizuia kutoa michango yako hapa JF kwa muda mrefu hivyo! Yaani toka 2007 mpaka wa leo posts zako hapa hazifiki hata kitabu/buku/1000.!!!
====
Narudi kwenye mada. Mkuu kati ya vitu vigumu sana kuvifanyia modelling na simulation ni Political trends na scenario. Yaani hata ukitumia the most powerful machine learnig techniques za namna gani, models zitakazopatia za kubashiri political trends na scenario usahihi wake unakadiriwa kutozidi asilimia 7. Kwa maneno mengine Nassibu/Almasi kuwa mbunge wa Kigoma inaweza kuwa chachu ya kuleta maendeleo ya kiuchumi na kisiasa mikoani kuliko unavyodhani. Politics is realy function complex numbers with real and functional imaginary numbers. Mathematician knows better this statement!
 
Wewe unaamini kabisa Zitto anaweza kushinda dhidi ya diamond?
We bro uko serious kweli, kwamba watu wa Kigoma niwapuuzi namna hiyo, wampe kura diamond. Unadhani yale mapokezi walimpokea kama mbunge.

Kigoma haiwezi kuweka rehani mkoa wao kwa yule dogo, trust me.... Dogo mwenyewe hawezi kuthubutu maana anajua atapata kichapo kitakatifu
 
Mzee baba be honest alafu pia weka ushabiki pembeni kutokana na umaarufu mkubwa aliyonayo DIAMOND na namna anavyopendwa na wanakigoma mbona anachukua vizuri tu Jimbo kwa kishindo kikubwa.
 
Back
Top Bottom