Hana uwezo wa kuisambaratisha chadema aseme anaenda kujidhalilisha kwa wananchi, yeye ningemwona mtu wa busara kama angesema najiuzulu unaibu katibu mkuu,make hakuna anachokijenga bali anazidi kukipaka matope chama chake.
Ndugu watanzania wenzangu kuna siku mwigulu kwa niaba ya hao wenzake niliowataja hapo juu alisema Bungeni kuwa CCM ilikuwa inakaribia kuchukua viti 4 vya udiwani jijini arusha.Na ndio maana CDM wakaamua kulipua mabomu.Je hii ni kweli make leo hakuna mabomu na wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi.Ebu...
Mwigulu alisema CCM ilielekea kuchukua majimbo yote 4 ndo CDM wakalipua mabomu naomba uthibitishe kauli yako make leo hakuna mabomu CCM mmeshinda kata ngapi.Wewe ni zuzu ......................wewe sio mchumi bali mtu wa kuchuchumaa unadhalilisha wachumi
Ndugu watanzania wenzangu mie ni mmoja wa wasomi wa nchi hii nilisema hivi mtu kama mwigulu,nape na wasira ndo watu watakaoibomoa CCM na nilisema uelewa wao ni mdogo sana hawana uwezo wa kushawishi watanzaniam wa zama hizi.Ukipanda mtama utavuna mtama.Mwigulu wewe sio msomi ni zuzu kadanganye...
Huyu mwigulu kuna siku atakuwa kama katibu wa CCM aliyepita-Mkama,hana sera kijana mzima baada ya kutumia elimu yake kuasa jamii,badala yake unajenga uchochezi,OK,Mungu akusaidie,lakini kuna siku utaomba Watanzania msamaha.Kwanza hata sisi wasomi wenzio unatuhabisha sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.