Watanzania wakataa siasa za Mwigulu Nchemba

Ushauri kwa Mwigulu naomba aachane na Siasa za Maji taka badala yake akitaka watu wasahau yote afanye yafuatayo 1- ahakikishe CCM na Serikari ihamie Dodoma Kama Malawi Nigeria na South Africa Wamehamia miji mipya iweje Tz imeshindwa? 2-ahubiri siasa za Upendo na Amani asipende kulumbana lumbana na watu Hakika Mwigulu ukiweza Haya utakuwa juu na watu watakusamehe kwa yote
 
Kitakachoiokoa CCM kwa sasa ni Siasa safi na sio matusi na vurugu za Green Guards
 
Hana thamani ya kujadiliwa na siasa zake uchuro
 
Huyu kijana kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa Chadema.

Siasa zake za vurugu na matusi ndizo zimesababisha Chadema kupaa kwa viwango hivi.

Ni kawaida ufalme unapotukuka sana (kwa wanaojua historia) huwa unafikia sehemu ya kujisahau kabisa na kulewa madaraka. Hufikia wakati watawala hudhani wao ni miungu na hamna wa kuwafanya lolote. Wanachosahau siku zote ni kuwa watawala ni wachache kuliko watawaliwa. Kwa hiyo ifikie hata sasa wanaojua kuona wajue hii Mwigulu CCMstyle ni safari ya mwisho ya CCM ya kuwachosha wananchi ili ifungiwe virago rasmi.

Kwa sasa nawaomba wananchi waumize vichwa sana kuamua nchi yao iweje baadaye kidogo. Ila one thing I am sure. Hii hali ya sasa ya nchi siyo ya kuendelea kuishi nayo binadamu wastaarabu, wanaojali na kuthamini maana ya utu.

Lakini pia is like fujo is the only language tha serikali understand haraka zaidi. Ingawa nafikiri this is not an option.
 
Laiti CCM wangesikiliza ushauri wako huu.Lakini sikio la kufa...... !!!
 
Vp zile kata 16 ambazo ccm imeshinda kwa ushindi wa kimbunga????

Acha longolongo wewe!Kote walikoshinda Magamba ni kura za wizi na kuchakachua!Kuna kata kama ya Makuyuni CCM walitumia mbinu chafu za kumteka,kumpiga na kumjeruhi Mhe.Nassari!Kata moja huko Muheza kulikuwa na udanganyifu mkubwa na bado CCM walizhinda kwa tofauti ya kura 3.Katika Jumla ya kata zote 26 CCM kapata 16 na CHADEMA 10!Kati ya hizi 10 CDM wameongoza kata 5 ambazo mwaka 2010 zilichukuliwa na Magamba.Na bado zitazidi kupungua huko mbele!Watch out!
 
Laiti CCM wangesikiliza ushauri wako huu.Lakini sikio la kufa...... !!!

Asante! And that is why mapambano yataendelea mpaka chama hiki cha kidhalimu kiachie nchi yetu. Ikumbukwe tu ni Watanganyika wenye dhamira safi na ya dhati ndiyo waliweza kuwaambia wakoloni "tunataka nchi yetu" na wakoloni waliachia!...Watu hao hawajaisha na hatutalala mpaka watu wote wawe na haki sawa ndani ya nchi hii. Tutakuwa wa ajabu kabisa na historia itatuhukumu, kuwa tuliwafukuza wakoloni kwa kuwa ni "wazungu" tukawaacha wakoloni wengine kwa kuwa tu ni "waafrika" tena "wenzetu"
 
Asante! And that is why mapambano yataendelea mpaka chama hiki cha kidhalimu kiachie nchi yetu. Ikumbukwe tu ni Watanganyika wenye dhamira safi na ya dhati ndiyo waliweza kuwaambia wakoloni "tunataka nchi yetu" Watu hao hawajaisha na hatutalala mpaka watu wote wawe na haki sawa ndani ya nchi hii.

Hoja nzito sana ndugu yangu.
 
Huyu jamaa Mwigulu huwa sielewi huwa anawaza kwa kutumia nini?anasemwa sana hapa jf lakini anaendelea na mambo ya ajabu.Kama alisoma na akapata shahada,basi kuna tatizo mahali katika somasoma yake.
 
Sikio la kufa.
 
Back
Top Bottom