Ludovick apata dhamana

Ludovick apata dhamana

Wangemwacha tu anyee debe kama miez 2 tena ili adabu imshike vizuri.
 
wanataka kutoa episode nyingine ya ile filamu ya bukoba boy
 
Jamani jera ni mahala pagumu, mahali dhalili mno, sehemu ya kuhuzunisha sana hata hivyo twamshukuru Mungu kijana mwenzetu kapata dhamana pamoja na kutupwa na viongozi wake wa chadema. Kitendo mlichomfanyia Ludovick si cha kiuungwana wala kibinadamu kabisa. Ni matumaini yangu mateso aliyopitia kwa kipindi chote akiwa huko mahabusu hakitoisha hivihivi kitakuwa na majibu yake kwa waliomsaliti.
Cc Dr Slaa,
Cc Mbowe,
Cc makamanda wote mliotema kamanda mwenzenu.
 
Wewe ulichukua hatua zipi kama una utu kiasi hiki?Hypocritical vagabond
 
Jamani jera ni mahala pagumu, mahali dhalili mno, sehemu ya kuhuzunisha sana hata hivyo twamshukuru Mungu kijana mwenzetu kapata dhamana pamoja na kutupwa na viongozi wake wa chadema. Kitendo mlichomfanyia Ludovick si cha kiuungwana wala kibinadamu kabisa. Ni matumaini yangu mateso aliyopitia kwa kipindi chote akiwa huko mahabusu hakitoisha hivihivi kitakuwa na majibu yake kwa waliomsaliti.
Cc Dr Slaa,
Cc Mbowe,
Cc makamanda wote mliotema kamanda mwenzenu.

We CHAMAVIGA, hizo propaganda zenu za kipuuzi ndizo zimewasababishia hata Arusha mzidi kuchukiwa! Endeleeni tu mtalia mno!
 
jana mwigulu aliondoka mapema sana arusha nadhani alikuwa anawahi kukamilisha dhamana ya camera man wake.
 
Jamani jera ni mahala pagumu, mahali dhalili mno, sehemu ya kuhuzunisha sana hata hivyo twamshukuru Mungu kijana mwenzetu kapata dhamana pamoja na kutupwa na viongozi wake wa chadema. Kitendo mlichomfanyia Ludovick si cha kiuungwana wala kibinadamu kabisa. Ni matumaini yangu mateso aliyopitia kwa kipindi chote akiwa huko mahabusu hakitoisha hivihivi kitakuwa na majibu yake kwa waliomsaliti.
Cc Dr Slaa,
Cc Mbowe,
Cc makamanda wote mliotema kamanda mwenzenu.

finally ..... 4-0
 
Green guard invicible spy

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mingoi toka lini ukawa na huruma kwa makamanda? Kama ndo hivyo basi nendeni mkamuone Lwakatare pale Muhimbili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom