Picha: Ofisi ya CCM Mbinga yachomwa Moto

Picha: Ofisi ya CCM Mbinga yachomwa Moto

Huu ni mnyukano wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya. Hongereni sana. Uchaguzi ulioahirishwa unarudiwa lini?
 
Hata wanachama wa hicho chama wangeungua tu! Hawana faida kwa taifa letu! Laana khum ccm!
 
Sasa wananchi walikuwa wanapiga kelele,wanadai uitishwe mkutano wajue mapato na matumizi,vijisenti vyenyewe tulisha bwinya!!! Sasa mulitaka tufe na tai shingoni? Tumeichoma basi! Kama mna uchungu kufeni,kwani si cha kwetu!!
 
nani kaingia ndani na kuchoma moto ilhali hata mlango haujavunjwa?wenyewe ccm wamechoma na inawezekana waliacha mshumaa ucku,mazia likaungua maana jengo lenyewe hata umeme halina.
 
1.Moto uwashwe na bila kuzimwa na mtu yeyoye usiunguze mapazia, Kalenda na vitu vingine ndani ya ofisi
2.Moto uwake na mlinzi hasiwe na taarifa wala kuhisi kuwa jengo linaungua,
3.Kwa usiku huo kusiwe hata na mwanga ulioonyesha moto huo kuwaka na kushtua watu akiwemo mlinzi pia
Tutumie akili za kawaida tu katika tukio kama hili huyo katibu anatakiwa awe Mshtakiwa Namba moja na mlizi wake awe Namba Mbili baada ya hapo watafutwe watuhumiwa wengine wakiwemo hao waliomwaga mafuta kuchoma na baadae kuuzima huo moto.
 
Na hapa kiomboi iramba tunakusudia kuchoma moto ofisi ya magamba
 
kazi ya ccm ni kushika DOLA maendeleo wananchi watajiletea
 
Wapinzani watakuwa wamechoma lakni siasa za namna hii hazina mashiko.
 
Mbona haijaungua! maana hizo picha bado zinaonekana ndani, nilitegemea ziwe zimeungua kabisa! au ndo mmeunguza nyaraka na mnatafuta huruma ya polisi?
 
Pakishapigwa dili, suluhisho ndo huwa hilo.... ila kabla ya kuchoma huwa wanahakikisha nyaraka zote zinazoweza kubumbulua dili zinachomewa nyumbani. Maana zikianchwa ziungue na makaratasi mengine zinaweza salimika bureee...!!!!

Hawa jamaa wana technic banah washapiga issue hao, sasa hapo watasema hela zimeungulia ndani
 
Hapo kuna nyaraka zimechomwa baada ya kufisidi mamilioni ya chama cha magaidi (c....M)
 
Acha wachomane moto (Chama lazima kiweweseke,unamtegemea Nape na Mwigulu wafanye nini?)
 
Back
Top Bottom