Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Status
Not open for further replies.
Membe anataka urais wakati hata ufisadi kwenye wizara yake anashindwa kuudhibiti ....

Ujio wa obama na mkutano wa smart partnership zimetumika bilioni 8

tenda zimetolewa na wizara yake bila kufuata utaratibu.....wazabuni wameleta vifaa baada ya ugeni kuondoka ............

Bei zilizotumika ni aibu ..sana
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
huyu si mwanasiasa ni shabiki...
 
sawa sawa
 
Kiukweli mwigulu anafaa kumuunga mkono Lowasa, ila sijui kwa nini ninawaza hivyo.
 
Nimeanza kupata picha moja kutoka kwa mwigulu, ujinga wake wote, kibuli, dhalau, kumbe vi2 viwili 2 ndo vimemponza
1. vyeo alivyozawadiwa na JK
2.Bila pesa ze2 za richmond now zinafanya kazi
 
Amepotea ,,,,, ccm ina makundi zaid ya hilo yy analoliona ni bora kwake kwa kumuunga lowasa ni kutamani vyeo vya kuhongwa kwa ndoto za alinacha ,,,,,,
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.

Heri Juma Nkamia awe Rais kuliko Lowasa, labda ni Rais wa mwana Iramba si Tanzania
 
Tangu lini Mwigulu Lameck Madelu Nchembe akamfia masikini asiyekuwa na pesa????????kaipenda nyinyiemu kwasababu ya njaa ya tumbo,katumia majina siyo yake kusoma kwasababu ya njaa ya tumbo,anaisifia nyinyiemu hata pasipo sababu kwasababu ya njaa ya tumbo
 
Kama CCM itampitisha Lowassa kugombea urais basi kwa namna moja ama nyingne watakua wameraisisha harakati za ukombozi na CHADEMA itachukua nchi kiulaini. Dr.Slaa ndie tumain letu.

Nikuhakikishie tu MijiCCM ikimchagua Lowasa ni faida kwa chadema na isipomchagua ni faida kwa chadema!
 
Mwigulu asipokuwa mwangalifu miaka iliyosalia ndiyo itakuwa mwisho wa kusikika CCM! Anahitaji kuwa politically mature! Siasa zinabadilika! Ikitokea Membe au Sita au mtu yeyote mwenye tofauti na Lowassa ndani ya CCM akashika madaraka ya nchi (kama hilo litatokea, sijui), huo ndio utakuwa mwisho wake si tu kwenye nyadhifa ndani ya CCM yenyewe bali hata ubunge. Anyway, labda anajua zaidi, tusubiri tuone.
 
Ni heri ukosee kozi chuo kikuu sio chama Tanzania; mwigulu out, ccm out, kidulamabambasi out EL out, 6 out, Mende Out etc out.
 
Freedom of ones thoughts and expression..very crucial for democracy
 
Source zisizo aminika zinadokeza kwamba jeshi litachukuwa nchi siku Mamvi anatangazwa kuwa mgombea. Let's wait and see!
 
CCM na LOWASA SOMENI HII
(J . K. NYERERE)
"Ukiona mtu yupo tayari
kutoa chochote (PESA), au
kukupa kitu cha aina yoyote
(kanga, tisheti, kofia) ili apate
kuungwa mkono na AINGIE
IKULU, TAMBUA KUWA MTU
HUYO HAKUFAI..
Jiulize kuwa hizo pesa
anazokupa kazipata wapi na
kwa kina nani, Je hivyo vitu
anavyokupa kavipataje na
atavirudishaje?
je baada ya kupata nafasi
IKULU atazirudishaje
rudishaje na utamwambia
nini wakati vyake ulikula?" (Je
mnaweza kujitetea katika
hili??)
Masaa 4 yaliyopita
Imenipendeza · Maoni 4
· Fuatilia kipachiko
 
Heri Mbu wakae ikulu kuliko CCM, ni heri NRA waingie ikulu kuliko CCM kubaki sehemu hiyo, kila mtu anapigwa risasi hiyo ni ikulu au kijiweni???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom