Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,095
hivi stella mwampamba ameolewa?!..
viburudisho tu!
hivi stella mwampamba ameolewa?!..
we kiboko.nimeamini we ni sufuria makalio yako hayaogopi motoUmeonae, kapiga wrong number akajipange upya huyu mleta mada, hawa vijana hawashikiki, tunamshukuru Mungu sasa watanzania tumejua mengi kupitia hawa vijana.
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.
eti alikuwa China? Nalile bomu inasemekana limetengezwa China ?ni kweli mwigulu ni noma kwa kulipua wapinzani kwa mabomu!
...........aha ha ha ha!!! Magamba mna kazi kweli kweli, umejuaje kuwa Chadema wametumia 1bn huko Arusha au wewe ulikuwa mke wa Mhasibu wa Chadema kule Arusha?. Unoma wa Mwigulu upo wapi katika kupanga milipuko au kupanga mikakati ya kumwagiana tindikali?Siyo CHADEMA wanaojilipua na kusema ni jeshi la POLISI wewe, Mwigullu noma na ndiyo maana kila siku CHADEMA wanahaha mpaka wanatumia Tsh. bilioni 1 kwenye uchaguzi wa kata nne tu pamoja na kutoa mamluki Karatu, Arumeru na moshi.
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.
Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.
Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
Kama taarifa hii ni kweli,basi atakuwa ameenda kujichimbia kaburi,hawezi kurudisha heshima kwa kuisema chadema!!!na kwakuwa ni -------- basi sina haja ya kumwambia nini cha kufanya kurudisha heshima kwani nataka waendelee kupoteaKada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.
Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.
Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
igunga ulikuwepo au ulipewa tarifa tu.
Sio Nchemba ni Chamber,tena la chooniteh teh teh
Nchetemba